Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
- Thread starter
-
- #101
Asante changamoto kuna kazi moja ninaisubiria mpaka leo na sina uhakika itakuja lini na hiyo ndio iliyonipa million 3 kwa ajjili ya biashara.Wewe kwenye kujiajiri,vyote unavyo kasoro kimoja tu,uthubutu wa kuamua kuanza,
Unao mtaji,chombo Cha usafiri kukurahisishia mishemishe unayo,bado uthubutu wako na wazo la n nini ufanye ndo umekosa,
Unatakiwa usiogope kuamua ,watu wanaendesha biashara mtaji milioni,pesa inayozunguka kwenye uchuuzi Ni laki 4 tu na daily uhakika kukunja 15 Hadi 30
Nataka nikafanye mkoa issue za umachinga mkuuKujiajiri kwanza inategemea upo wapi na unataka kufanya nini. Kama ulipo panakubaliana na unachotaka kufanya, fine jitose Mkuu.
Inachosha sana balaaa....Hiyo sio Kaz ni utumwaak tatu kazi had usiku wa ma nane
Hakuna siku muda utafika utasema uko tayari kwa kufanya jambo lolote kitu ambacho nauliza ni kutaka kujua tuUkiona huwezi fanya maamuzi mwenyewe ya kuacha kazi na kujiajiri ujue mda bado na usiache, unachopaswa kuuliza ni, nimeacha kazi, nimeamua kufanya biashara ya machungwa, wajuzi wa biashara nipeni ushauri.
Nilitaka hii pikipiki nimkabidhi boda hesabu awe ananiletea halfu mimi niende nikafanye mchakato wa kuanza maisha mapyaKwa sababu una mke (familia); weka akiba/ fedha ya kutumia mwaka mzima, baada ya hapo acha kazi na uanze kujiajiri kwenye fani unayoiitaji
Sasa mwakani ndo itakuwa sawa mkuu.Kipindi hiki kila biashara ngumu. Vuta subira mpk mwakani ndo uwaze hivyo
Kwanza usinitukane kitoto unanijuaAcha ujinga wewe kitoto.
Tuliza akili kusanya kidogo kidogo uwe na capital ya kutosha kujiajiri sio matako kuwa kila mtu anayo
Jichunguze utaweza na je una passion n hayo mambo sio badae uanze kutupa story za mikono ya watu kwenye mikono yako
Umachinga bora Dar Mkuu, mkoani utateseka sana kutoboa. Mzunguko wa mkoani huwa ni jau sana kaka na mbaya zaidi saa za biashara mkoani ni chache sana yaani saa mbili hadi saa kumi na mbili jioni, ukiforce sana saa mbili usiku tena napo miyeyusho.Nataka nikafanye mkoa issue za umachinga mkuu
kuacha kazi sio kazi kazi kupata kazi tafuta kazi ukiwa bado unafanya kazi hiyoWakuu,
Mimi nikijana ninafanya kazi kwenye taasisi moja nchini kama Volunteer kwa muda wa miezi sita sasa.
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi kwenye moja la shirika kubwa na mshahara mzuri sema mkataba uliwahi kuisha.
Hivyo Sehemu nayofanyia kazi kwa sasa nalipwa laki 3 ambayo hiyo hela nikijumlisha na mahitaji yote ni ndogo sana.
Juzi NSSF wamenilipa million 3. Na nina pikipiki nilinunua bodaboda wangu kairudisha so niko nayo.
Nimepata wazo la kuacha kazi nikajiajiri kwa hii Hela niliyoipata ya mafao.
Niliwaza mkoa wa Morogoro au Dodoma.
Ushauri wakuu.
USIJEN KUACHA KAZI SABABU KUNA KAZI UNAISIKILIZIA YANII USIJARIBUU....!!Asante changamoto kuna kazi moja ninaisubiria mpaka leo na sina uhakika itakuja lini na hiyo ndio iliyonipa million 3 kwa ajjili ya biashara.
ushauli usiache kazi bila kubuni kazi ya kufanyaKwa mshahara wa laki 3, bora akapige mishe nyingine.
Laki 3 means kwa siku anapata elf 10
[emoji1787][emoji1787]USIJEN KUACHA KAZI SABABU KUNA KAZI UNAISIKILIZIA YANII USIJARIBUU....!!
Ni kazi sana kufanya Biashara uku unafanya kazi kwa mtu, izo wanawezaga wanasiasa tu mana wao waga wana weka ela tu kwny biashara kutoka kwny mikeka yao hawaoni asara kwny biasharaKwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia? Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana! Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
Asije kusema hatukumwambiaa yani ni jambo hatari sana.
Na kuna watu wanapata 5000 na maisha yanaenda,usidharau pesaKwa mshahara wa laki 3, bora akapige mishe nyingine.
Laki 3 means kwa siku anapata elf 10
Usinitishe mkuu.Asije kusema hatukumwambiaa yani ni jambo hatari sana.
Kweli kabisaNi kazi sana kufanya Biashara uku unafanya kazi kwa mtu, izo wanawezaga wanasiasa tu mana wao waga wana weka ela tu kwny biashara kutoka kwny mikeka yao hawaoni asara kwny biashara
Siko mweupe kiasi hicho mkuu.Hali ni mbaya kitaa shauri yako asee