Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

Sasa yapo ya ugaidi na uhaini sio.
 
Pilipili iko shamba wewe yakuwashia nini - Wahenga
 
Muongezeeni la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha kwani nayo yapo ndani ya mamlaka yenu, na
zile mlizojipa.
 
Hii ni point kubwa sana na ya msingi. Kongole ndugu kalonji .
Bila ya kufanya hivi,hatafanya chochote cha maana.
Na wengine kwa kuliona hili,tulienda mbali kwa kumshauri Mh. Rais Samia aitishe uchaguzi mkuu mpya ukiwemo na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kwa timu hii (wabunge,madiwani,wenyeviti wa serikali za mitaa) iliyowekwa "kiharamia" na mwendakuzimu,Mh Samia hawezi kupata viongozi bora wa kumsaidia kulipeleka taifa mbele.
Hivi Mwigulu,Kabudi,Msukuma,Zungu,Ndugai na wabunge wate 300+,ni nani wa kuweza kusema alichaguliwa na wananchi kwa jitihada zake za kuwapigania wananchi hao!!??
 
Masuala ya vikundi ni mambo ya kawaida kwenye taasisi za kidemokrasia. Huna haja ya kuogopa bali kukabiliana kwa hoja.
 
Wote hawa walichaguliwa na magu kwa lengo la kumsaidia atawale milele sema tu Mola wake kampangia majukumu mengine bila hivyo ndoto zake zingetimia.
Hawa watamkwamisha.Hata kama sio kurejea uchaguzi apige chini baraza la mawaziri lote aweke watu wake,mbona Mkapa kapiga Sana chini,wasomi mtaani kibao wamejaa kuliko kuendelea na watu waliolishwa sumu ya uovu uliopita.
 
Hakuna anayemuhujumu Samia, hakuna watu waoga kwa mwenyekiti wao kama wanaCCM, kila atachoamua Samia leo hii wote wataunga mkono. Kwa hii miezi mi4 ya utawala wake ameonesha yeye ni kiongozi ambaye anawaamini wasaidizi wake, na amewaacha huru watende majukumu yao kadri sheria inavyowaruhusu, tatizo katika hao wasaidizi wake kuna vilaza wa kutupwa, Kuna wengine hawajui hizo sheria na mipaka yao, kuna wengine wanajua hizo sheria ila ni matabia tu mabovu na roho mbaya. Approach yake ya utawala ni nzuri kama una wasaidizi wanaojitambua.
 
Wakati wa utawala wa Kikwete, waendesha JF walikamatwa na Polisi waliokuwa wanajipendekeza kwa Kikwete, bila Kikwete kuagiza.

Kikwete mwanadiplomasia akaona hilo jambo linamuharibia jina la nchi yake.

Akaagiza waachiwe mara moja. Nchi isichafuliwe.

Wakaachiwa.

Kwa nini rais wa sasa kama kweli hafurahii yanayotokoea asiagize kama hivyo alivyoagiza Kikwete?
 
Mnasingizia anahujumiwa na CCM? Si.mlisema MATAGA wameenguliwa wote?

Hakuna wanaomhujumu mama yenu ila kashindwa kuongoza! Full stop!!!!
 
Hapo Sasa mkuu!![emoji122][emoji122][emoji122]
 
Maneno KUNTU kabisa.
Nadhani tukutane mbele ya safari In sha allah.
Babu Dunni na ule msemo wake.
 

Siyo mbaya na aendelee kuwakumbatia, "na kikamtokee puani tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!" --- Pinda Kayanza.
 
Uko sah
ihi kabisa Prof Koboko. Mama lazima ashtuke. Tena CHADEMA wamesema hawatamwekea dhamana Mbowe na wenzake. CDM wakekuwa smart sana. Kama itakuwa hivyo unadhani polisi watakaa na Mbowe muda gani? Watch my lips Rais anaingizwa mkenge bila yeye kufahamu.
 
Mama kama kwa Magufuli alikuwa amepata Fursa nzuri ya kuliponya taifa bahati mbaya sana amejikwa. Asipoangalia hii itamgharimu. Hii nchi ataiacha.
 
'Mama' yako ni dhaifu.Ni ndoto kupata kipindi cha pili
 
Serikali inaangushwa kwa makongamano?
You must be drunk......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…