Angekuwa rais Mpango wakamtest ungesema wamemtest kwa sababu mwanamke?It’s inescapable that they [the opposition] didn’t try Magufuli that much.
He had the persona of a tough guy. No nonsense [for lack of better word] type of guy.
And now comes a woman…a soft spoken one at that. All of a sudden they’re talking tough?
Even my 4 yr old baby girl will see it for what it is.
Angekuwa rais Mpango wakamtest ungesema wamemtest kwa sababu mwanamke?
Walivyomtest Kikwete mpaka kumuita dhaifu, rais ambaye hakuwa no nonsense kama Magufuli naye walimtest kwa sababu ni mwanamke?
Kikwete ni chekibobu yule. Siyo tough guy.Hujajibu la Kikwete.
She is shortchanging herself.
Ahaa, kwa hiyo rais anaweza kuwa tested kwa sababu ni chekibobu, si lazima awe tested kwa sababu ni mwanamke, siyo?Kikwete ni chekibobu yule. Siyo tough guy.
Ulishawahi kumwona Kikwete akipiga push up au akicheza Mapanga shaaa ya TMK Wanaume kama alivyokuwa Magufuli?
Anaweza kuwa tested akionekana ni sleki mayai, mdhaifu [Mnyika alimwita Kikwete dhaifu], akiwaAhaa, kwa hiyo rais anaweza kuwa tested kwa sababu ni chekibobu, si lazima awe tested kwa sababu ni mwanamke, siyo?
Sasa unajuaje huyu anakuwa tested kwa sababu ni mwanamke na si kwa sababu ni sleki mayai/ dhaifu/ anakikanganya?Anaweza kuwa tested akionekana ni sleki mayai, mdhaifu [Mnyika alimwita Kikwete dhaifu], akiwa
Mwanamke, nk.
Wanawake wengi wana haiba ya upole.
Mwanamke hata akienda gereji peke yake mafundi magari wanaweza kumuingiza mkenge kisa tu ni mwanamke.
Kwanza…yeye mwenyewe alizungumzia jinsia yake.Sasa unajuaje huyu anakuwa tested kwa sababu ni mwanamke na si kwa sababu ni sleki mayai/ dhaifu/ anakikanganya?
You can't be serious. I see what you are doing there.Kwanza…yeye mwenyewe alizungumzia jinsia yake.
Pili, tunaambiwa ni mama. Ni msikivu. Kawatoa akina Mdude Nyagali gerezani.
Tatu, hafokei watu 😅
Huu ndiyo ukweli na haukwepeki. Madaraka matamu. Ni mbinu nzuri waache wafu wazike wafu wao.Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.
Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?
Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.
Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.
Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
sasa hapo unawalaumu marais badala ya kulaumu katiba ambazo ndo zimewapa mamlaka ya kuviongoza vyombo hivyo vya ulinzi na usalama.Marais ndo huwa wanazifanya nchi ziwe banana republic kwa kukiuka katiba, kuingilia majukumu yasiyo yao, nk, kwa kutumia state organs kama polisi na majeshi!
THANK YOU SIR! ... we don't need gender based affirmative action when it comes to judjing A PRESIDENCY!If something is wrong, it is wrong regardless of who is president.
So let's discuss right or wrong regardless of the presidency.
Every presidency should be tested if the testing is about making the constitution better, regardless of the gender of the president.
And if the opposition was wrong by not testing the previous president enough, they should not continue to be wrong by not testing the current president.
Not because she is a woman, but because she is the president.
Overemphasizing the fact that she is a woman in a paternalistic way is actually shortchanging her rightful position as a full president.
In a way that says "this is not a full president, this is only a woman president, please don't test her so much".
Katiba haiwalazimishi wawe madikteta wewe!sasa hapo unawalaumu marais badala ya kulaumu katiba ambazo ndo zimewapa mamlaka ya kuviongoza vyombo hivyo vya ulinzi na usalama.
Hivi assume wewe ndo unakuwa amir jeshi Mkuu , aharafu anatokea mtu anakwambia atakunyoa kwa wembe aliomnyolea mtangulizi wako . hiv mtu Kama huyo hutomdhibit?
Atakaye mukwamisha Rais Samia ni Kikwete. Na kuacha legacy ya Hayati Magufuli. Sio siri serikali ya nne, tuseme bila ya kumumunya maneno ilishindwa uongozi. Kikwete angewaomba radhi Watanzani. CCM ilikuwa inanuka ufisadi. Watu walikichukia chama, Samia anasema serikali zote zilifanya vizuri. Ana wafanya Watanzania wajinga. Kukamatwa kwa Mbowe sio kumuchonganisha mama na serikali za kimataifa. Ni kuchunga usalaama wa nchi. Ni Watanzania ndiyo wana matters na sio serikali za nje.Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.