Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujiuzuru akujie?Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi...
Hahaha mwambieni kachelewa sanaNaibu waziri Uwekezaji!
Usilete uchonganishi; Nape ametoa hoja ya msingi na uchunguzi huo lazima uanzie awamu zote za nyuma. Nakumbuka enzi za Kikwete na Waziri wake wa fedha Mustapha Mkullo walifloat bond in foreign currency na fedha zile hazikujulikana zilitumika kwa miradi gani!! Zitto alijaribu kuulizia akazibwa mdomo!!! Uchunguzi ukifanyika professionally tutajua mambo mengi yanayokwamisha maendeleo yetu.
Haya ndiyo mambo ambayo mbunge makini anaweza kuhoji na kueleweka. Maelezo rahisi rahisi tu kuhusu ustahimilivu wa deni la Taifa na uwezo wetu wa kuzidi kukopesheka ni hoja isiyo kuwa na mashiko yoyote.Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametaka ufanyike uchunguzi wa akaunti ya deni la taifa na iwekwe bayana kila senti ilikwenda wapi na ilifanya nini?
Source: ITV habari
Yure mupe yure muruke. Zama za uwazi hizi katika kuhoji, wala si za kutekana, kupotezena ama kuumizana.Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Kwani alitafuna pesa?Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?
Hizo meli ni bei gani? Miradi ya SGR na SG respectively hakuna hata mmoja uliofika 1/3 ya mpango. Kama unabisha dhibitisha. Isitoshe kulikuwa na uongo mwingi wa kupotosha umma kuwa hiyo miradi ni ya fedha za ndani.Nawaza kwa sauti tu:
[emoji830]︎Ujenzi wa Meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwenye Maziwa makubwa nchini kurahisisha usafiri wa mizigo (mazao ya wakulima) na abiria ukaboreshwa...
Mtu hatakiwa kuwa jela au nje kwa hisani ya mtu yoyote bali kwa mujibu wa sheria ndani ya katiba. Na sisi polepole tutoke kwenye siasa za kutukuzana binadamu badala ya Mungu.Huyo alipaswa kua jela KWA Sasa,ni JPM tu alimstahi. In short hana Morality ya kuongea chochote na ndo Mana alichagua kukaa kimya.
Thread za maovu yake zimejaaa humu if,unaweza kusearch
Ccm du mungu wetu soteKwenye katiba hatuna wabunge wa kupita bila kupingwa hata PM mwenyewe sijui alichaguliwa na wananchi wapi!
Kweli mkuuMtu hatakiwa kuwa jela au nje kwa hisani ya mtu yoyote bali kwa mujibu wa sheria ndani ya katiba. Na sisi polepole tutoke kwenye siasa za kutukuzana binadamu badala ya Mungu.