Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

"Hakikisha unatetea bungeni..unavyozidi kututetea bungeni na posho yako inaongezeka"...😂
 
Kuna kitu kinaitwa FCC,

Fair competition, lazima uweke bei sawa na washindani wako kibiashara.
 
Hata kama ni huduma za ziada ndiyo UIBE?
 
Haya ni matokeo ya tigo (tigo+zantel) kuwa ya mtu ambaye pia ni majority shareholder wa vodacom.
 
Kwa hiyo promotion ndiyo inahalalisha udanganyifu wa biashara? Kuwa objective Mkuu.
Udanganyifu upi au tunaongea vitu tofauti? Unapewa bando unaambiwa bando hilo litatumika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Mwezi mmoja ukiisha definitely hilo bando halitatumika tena, ni udanganyifu gani hapo.
 
Ukiona mtu yeyote kakataliwa na JPM ujue huyo ni takataka
 
Udanganyifu upi au tunaongea vitu tofauti? Unapewa bando unaambiwa bando hilo litatumika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Mwezi mmoja ukiisha definitely hilo bando halitatumika tena, ni udanganyifu gani hapo.
Kwa vyovyote vile hujasoma posts muhimu zinazohusu mjadala huu. Kwa hiyo, si shangai.
 
Kwa mfano makampuni yanatangaza kuanzia kesho hakuna bando hivi mtakuja hata jf kweli,unaweka 500 yako hata hujamaliza kusoma post moja imeshakwanyuka. Makampuni wana haki.
 
Sijajua kwann Yule jamaa aliye mnyanyulia bastola hajamalizana nae jumla jumla
Kabsaa huyu mtu anajiita Nape nna uhakika ana matatizo sana,Alipaswa kabsaa sasa hivi anatuangalia watanzania tukila mema ya nchi yeye akiwa huko jamaa alitakiwa kumpekeleka,Tangu nilivyomuonaga anapanda wanawake mgongoni kisa kutuonyesha wananchi wanamkubali Niliona kijana anayo Shida mahali flani.
 
Hawa wabunge sijaona ambaye anauliza maswali ya msingi na kutoa hoja za msingi juu ya swala la bandos.
 
Sheria za soko huria zinakwenda sambamba na sheria za nchi na serikali.

Leo tigo akishusha bei chini ya hapo atokea waziri mwenye dhamana anakwenda kumuomba hela na akigoma anaenda kumbana kwa sheria za kodi.

Mfanyabiashara wa kawaida tu akifuatwa na mkurugenzi wa halimashauri akaombwa hela akigoma wanaanza mletea zengwe kwa kutumia TRA na vyombo vingine. Hii ni matokeo ya sheria zinazosababisha wanasiasa wapumbavu kuwa na influence kwenye uchumi na biashara.

Unapokuwa na siasa za kitoto hivi usitegemee inchi kupiga hatua kiuchumi.

Hapa ni wazi nape kuna kitu anapewa hakuna mtu anatetea jambo ambalo hana maslahi nalo. Nina uhakika hata angekuwa makonda na ujinga wake ila angeingiwa na huruma na kutetea raia ila huyu jamaa ana roho mbaya sijawahi kuona na ni mbinafsi na hasidi nambari moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…