Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Hahahaaa inawezekana huyu CR mkuu basi ana fungu lake kwenye haya makampuni ya simu.Sema maCR wengine wana mafungu. Kwa hiyo , hana hasara atakapokuja kufanya supplementary au probation!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa inawezekana huyu CR mkuu basi ana fungu lake kwenye haya makampuni ya simu.Sema maCR wengine wana mafungu. Kwa hiyo , hana hasara atakapokuja kufanya supplementary au probation!
Kuna kitu kinaitwa FCC,Aisee sijui hii nchi wanataka nini? Kila siku wanapiga kelele za soko huria alafu wenyewe ndio wanaharibu....
Hii kitu rahisi sana tuna shirika letu TTCL tuna Shares nyingi Airtel..., Kwanini wasipunguze huko to the minimum...., watu si watahamia huko hence hawa wengine kushusha bei ili wateja waje?
Wanashindwa kutengenezq Sera na kuweka mambo sawa wanaleta porojo na cheap politics ili waonekane ni watetezi...
Hivi katika hizo bundle serikali inakula Kodi kiasi gani? (Wachawi mara nyingi ni hao hao lakini always passing the blame to the next guy)
Sometimes najiuliza hata kama tunahitaji hii Serikali it seems inaharibu kuliko kutengeneza...
Funga FIBER au CopperKupromote kifurushi cha GB 1 kisha kumpa mteja MB 800 kwa bei Ile ile ya GB 1 huo ni udanganyifu.
Udanganyifu upi au tunaongea vitu tofauti? Unapewa bando unaambiwa bando hilo litatumika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Mwezi mmoja ukiisha definitely hilo bando halitatumika tena, ni udanganyifu gani hapo.Kwa hiyo promotion ndiyo inahalalisha udanganyifu wa biashara? Kuwa objective Mkuu.
Walau wewe umeongea point ili kuondokana na psychological disorderBasi wazifute hizo offer zao, wasitunyanyase mbwa hawa.
Unajua, Mkuu, wewe ni verified user. Comments zako unatakiwa kuzichuja kabla ya kuziweka jamvini.Funga FIBER au Copper
Kwa vyovyote vile hujasoma posts muhimu zinazohusu mjadala huu. Kwa hiyo, si shangai.Udanganyifu upi au tunaongea vitu tofauti? Unapewa bando unaambiwa bando hilo litatumika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Mwezi mmoja ukiisha definitely hilo bando halitatumika tena, ni udanganyifu gani hapo.
Kabsaa huyu mtu anajiita Nape nna uhakika ana matatizo sana,Alipaswa kabsaa sasa hivi anatuangalia watanzania tukila mema ya nchi yeye akiwa huko jamaa alitakiwa kumpekeleka,Tangu nilivyomuonaga anapanda wanawake mgongoni kisa kutuonyesha wananchi wanamkubali Niliona kijana anayo Shida mahali flani.Sijajua kwann Yule jamaa aliye mnyanyulia bastola hajamalizana nae jumla jumla
Mdwanzi PromaxSema huyu jamaa huwa ana uwaki fulani hivi
Mwili tufutufu sababu ya kula hela za raia.Nape amevimbiwa hadi kitambi kinaota kifuani badala ya tumboni!
Sheria za soko huria zinakwenda sambamba na sheria za nchi na serikali.Aisee sijui hii nchi wanataka nini? Kila siku wanapiga kelele za soko huria alafu wenyewe ndio wanaharibu....
Hii kitu rahisi sana tuna shirika letu TTCL tuna Shares nyingi Airtel..., Kwanini wasipunguze huko to the minimum...., watu si watahamia huko hence hawa wengine kushusha bei ili wateja waje?
Wanashindwa kutengenezq Sera na kuweka mambo sawa wanaleta porojo na cheap politics ili waonekane ni watetezi...
Hivi katika hizo bundle serikali inakula Kodi kiasi gani? (Wachawi mara nyingi ni hao hao lakini always passing the blame to the next guy)
Sometimes najiuliza hata kama tunahitaji hii Serikali it seems inaharibu kuliko kutengeneza...
Angemtandika ya kichwa pale pale tungekuwa na unafuu sasa hivi.Sijajua kwann Yule jamaa aliye mnyanyulia bastola hajamalizana nae jumla jumla