Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ushindani gani unao uongelea? Hivi miaka yote umeshawahi sikia kelele za watu kulalamika bando kuwa juu zaidi ya mwaka huu?!... Nape kwa hili yuko sahihi. Bando ni added service yenye masharti nafuu ili kuvutia wateja na mojawapo ya masharti hayo ni kikomo cha matumizi.
Ukiifanya huduma hiyo iwe ya lazima kwa kuitungia sheria sio kivutio tena bali ni takwa la kisheria which is not right. Itadumaza ubunifu na kuondoa ushindani.
Naam naamUnajua, Mkuu, wewe ni verified user. Comments zako unatakiwa kuzichuja kabla ya kuziweka jamvini.
Kama bundle liwe na kikomo basi mfano nimenunua GB 40 na kila siku natumia 500MB then ikifika mwisho wa bundle ikate nikiunga kile kifurushi changu kiendelee kuwapo kijaziwe na hiki kipya.Sijawahi ona nchi yoyote dunia hii, eti wakupe bando alafu isiwe na kikomo cha muda.. Hilo halipo, ila ukiwa hutaki bando, baki na hela yako unatumia bila kununua bando, which is very expensive..!!
Uwizi mkubwa unafanyika kwenye bando kuisha, yaani GB 2 au 3 say, unakuta within 3 hours haipo, kwa kuperuzi tu, huja download au upload chochote..!!
Mungu ana makusudi yake. Kipindi kile alikuwa na angeonekana shujaa sana. Na pengine mngesema anafaa Kuwa RAIS. ila haya yote ni kwamba watu mjifunze kitu pia.Sijajua kwann Yule jamaa aliye mnyanyulia bastola hajamalizana nae jumla jumla
Wanachi wa bongo ubinafsi wetu ndio unatuponza. Na ndio maana tunapata watu wabinafsi katika uongozi.Hicho ndio kinachofanyika. Hizo hela, zote ni serikali inachukua ndio maana Nape anajibu kwa Nyodo. Wananchi tungekuwa na umoja tugomee hata siku tatu kununua huduma toka kwenye hiyo mitandao tutaheshimiana.
Huyu jamaa ni wa kumzomea kabisa akiwa anapita huko mijini.Anajibaraguza Kutuumiza Sisi Wanyonge Hawa Watamaliza Hivyo Vyeo Watajuta
... bando ni matokeo ya ubunifu na ushindani; haipo kwenye huduma za msingi. Kesho na keshokutwa wakija na ubunifu mwingine nao mtataka muutungie sheria kisa wananchi wanalalamika. Anayelalamikia bando si arudi kwenye huduma ya msingi?Ushindani gani unao uongelea? Hivi miaka yote umeshawahi sikia kelele za watu kulalamika bando kuwa juu zaidi ya mwaka huu?!
... bando ni matokeo ya ubunifu na ushindani; haipo kwenye huduma za msingi. Kesho na keshokutwa wakija na ubunifu mwingine nao mtataka muutungie sheria kisa wananchi wanalalamika. Anayelalamikia bando si arudi kwenye huduma ya msingi?Walamba asali mnateteana.
Yani mtu anunua bando la GB 1 apate mb800 na wewe unatetea uozo huo?
Ndio watuibie?... bando ni matokeo ya ubunifu na ushindani; haipo kwenye huduma za msingi. Kesho na keshokutwa wakija na ubunifu mwingine nao mtataka muutungie sheria kisa wananchi wanalalamika. Anayelalamikia bando si arudi kwenye huduma ya msingi?
Kuna mawaziri ovyo watatu tz kama Nepi,kipara na waziri wa kwenye miamba hawa ni mawaziri ovyo Sana.Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.
Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.
Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.
Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.
====
Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.
Uko sahihi ndugu yangu mradi TCRA isifanye kazi kama Idara ya Serikali. TCRA ni shirika la Umma ambalo limeundwa kisheria kulinda maslahi ya Serikali, Wawekezaji na Mlaji kwa uwazi kabisa.... hiyo sasa ni kazi ya regulator (TCRA) kutoa majibu na solution. Iko hivi, Serikali inamiliki kampuni ya mobile (TTCL) ni opportunity kwao kuweka bando bila expiry date ili wananchi tukimbilie huko then automatically na wengine hawatakuwa na options zaidi ya kuiga ili wabaki sokoni.
Hiyo ndio maana ya competion sio ushindani kutungiwa sheria za kijinga anazo propose huyo mbunge.
Mbichwa au mtumbo ?Rushwa ni mbaya sana, Waziri amekuwa mtetezi wa makampuni ya kutoa huduma badala ya wananchi. Mbichwa mkubwa empty kabisa huyu
Sasa nimeelewa ni kwanini mafuta soko la dunia yakipanda basi na agents wanapandisha hapo hapo ila yakishuka wanasubiri stock ya nyuma iishe. Waziri mwenye dhamana kazi ni kupambania wananchi siyo kutoa majibu dry, sawa ni ofa kwa hyo kupitia ofa ndo uwapige watu? Vipi nikienda kwenye matumizi ya kawaida ndo yana bei elekezi kuwa kila mtandao kwa dakika 1 ni sawa na kiasi fulani cha pesa?Kwa hili ingawa tunaumia wananchi ila Nape yupo sahihi
Mbona kama vile wewe ni kichwa ngumu!! Umeelewa alichomaanisha kweli? Unaenda kununua bando promo yake ni 1GB, ila ukilinunua tu unajikuta unapewa mb 800 kwa bei ileile. Au umenunua sms 200, unatuma sms 10 tayari ujumbe wa kubakiza sms chini ya 7, ukituma 2 tu tayari zimeisha. Wizi huu upo hata kama wewe hujakutana nalo.Udanganyifu upi au tunaongea vitu tofauti? Unapewa bando unaambiwa bando hilo litatumika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Mwezi mmoja ukiisha definitely hilo bando halitatumika tena, ni udanganyifu gani hapo.
Na wao watumie huo mfano wako wafanye hivyo waone kama wataingiza hela mbwa hawa. Biashara ni kulindana kati ya mteja na mtoa huduma! Unafikiri kila mwenye kisimbuzi anaweka kifurushi bei zinapopanda? Wengine huishia kusema local channels zinatoshaKwa mfano makampuni yanatangaza kuanzia kesho hakuna bando hivi mtakuja hata jf kweli,unaweka 500 yako hata hujamaliza kusoma post moja imeshakwanyuka. Makampuni wana haki.
Kijan umesoma Burundi nn mnk burundi wanaanchi wenye smart phone hawafiki elf 50 nchi nzimaaaKwa mfano makampuni yanatangaza kuanzia kesho hakuna bando hivi mtakuja hata jf kweli,unaweka 500 yako hata hujamaliza kusoma post moja imeshakwanyuka. Makampuni wana haki.
Waziri anageuka kuwa msemaji na mtetezi wa makampuni.
Watu dizaini hii ni rahisi kuuza nchi