gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
kwa jinsi niijuavyo chadema, watajifanya kumpuuza Nape kumbe ukweli unawatekenya
Mkuu, kwa kuwa Nape ni kiongozi wa chama tawala, kauli yake si ya kubeza hata kidogo. huwezi jua ana ushahidi kiasi gani katika hilo. sote tutafakari kwa pamoja
kama ni za kizushi, aliwatuhumu kuingiza SILAHA nchini, waliishia wapi na kutakwa kwenda mahakani? miongni mwa watu ambao hawabahatishi kutoa habari za uhakika za CDM ni NAPE, mimi namkubali sana.
"Wenzetu hawa nasikia wamepewa mabilioni toka nje kwa kisingizio cha kushiriki mchakato wa katiba, na kama ilivyo kwa vibaraka wengine katika bara la Afrika lengo la mapesa hayo sio kuwawezesha kushiriki bali kuanzisha fujo na vurugu.
"Babu atwambie alifuata nini nje? Na pesa za kuzunguka na misafara miwili tofauti ya helkopta walitoa wapi? Na watwambie kama walisharudisha mrejesho kwa wafadhili .
KAMA ZAWADI YA KUSEMA SANA NI FEDHA! BASI ZAWADI YA KUKAA KIMYA NI DHAHABU.kwa jinsi niijuavyo chadema, watajifanya kumpuuza Nape kumbe ukweli unawatekenya