Nape hajawahi kuteuliwa kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa heshima ya baba yake Moses Nnauye; hivyo asijisahau!

Ili uwe waziri lazima uwe mbunge. Na kigezo cha kielimu kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
 
Januari ni presidential immaterial.

Haijalishi kama anapenda kuwa Rais wa Tanzania ila hana uwezo huo wa kuwa Rais na HATOKUWA Rais wa Tanzania sawa na akina Lowassa.

Rais wa Tanzania ni chaguo la Mungu tu na siyo matakwa ya binadamu. Ukiacha J K Nyerere Rais wa kwanza, kila ambaye alisemwa sana hajawahi kupata hiyo nafasi.

Kashindwa kusimamia nishati big time ma kutuacha kwenye guza la mgawo wa umeme, hana uwezo wowote kwa chochote
 
Aliongea kitu cha ajabu sana mbele za watu
 
Kwani Mzee Brigedia Moses Nnauye alikuwa na mtoto mmoja tu Nape? Kama sio, kwanini Nape tu ndio apewe "feva" na sio wengine?
Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.
 
Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.
Nape ni self made. Fuatilia historia yake. Na kwa taarifa hata Mzee Lowassa alimwogopa Nape akamfanyia mizengwe asiwe Mwenyekiti wa UVCCM na Nape akamfanyia mizengwe asiwe Rais! Mtu huyo anabebwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…