Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo
instagram.com/p/C9Y-1m9JkYr/?igsh=bjk1OTgxcGd3Y282
Lakini ukiangalia Kwa mbali vichwa ni kikubwa kama mzee wangu mmoja wa busokeloKumbe Moses Nnauye ni baba yake?
NdiyoKumbe Moses Nnauye ni baba yake?
Ni sahihi.Kauli ya Nape ni sahihi au si sahihi??
Huu mfumo wa kijinga wa kubebana ndiyo umeifikisha nchi hapa kwenye ufukara katikati ya rasilimali kibao
Januari ni presidential immaterial.Uwezo wa January Makamba ni kuandika hotuba, ambao kimsingi ni utaalamu wa lugha. Sasa aliesema yeye ni kiongozi mzuri kwa sababu aliandika hotuba za Kikwete, hapo ndipo ninapoishangaa hii nchi. Kwamba hizi nafasi ni za kupeana tu au nini hasa? Kwamba watu kama hawa ndio the best in the country katika nafasi wanazopewa?
SawaNdiyo
Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.Kwani Mzee Brigedia Moses Nnauye alikuwa na mtoto mmoja tu Nape? Kama sio, kwanini Nape tu ndio apewe "feva" na sio wengine?
Nape ni self made. Fuatilia historia yake. Na kwa taarifa hata Mzee Lowassa alimwogopa Nape akamfanyia mizengwe asiwe Mwenyekiti wa UVCCM na Nape akamfanyia mizengwe asiwe Rais! Mtu huyo anabebwa?Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.
Tena alifaulu sn, kuna wenzake akina Sendeka ni aibu tupu, kuna DC wa Busega kama sikosei hana hata cheti cha F4View attachment 3046787Nape hakuna kitu kichwani