Nape hajawahi kuteuliwa kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa heshima ya baba yake Moses Nnauye; hivyo asijisahau!

Nape hajawahi kuteuliwa kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa heshima ya baba yake Moses Nnauye; hivyo asijisahau!

Huu mfumo wa kijinga wa kubebana ndiyo umeifikisha nchi hapa kwenye ufukara katikati ya rasilimali kibao
IMG-20240718-WA0064.jpg
Nape hakuna kitu kichwani
 
Ili uwe waziri lazima uwe mbunge. Na kigezo cha kielimu kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
 
Uwezo wa January Makamba ni kuandika hotuba, ambao kimsingi ni utaalamu wa lugha. Sasa aliesema yeye ni kiongozi mzuri kwa sababu aliandika hotuba za Kikwete, hapo ndipo ninapoishangaa hii nchi. Kwamba hizi nafasi ni za kupeana tu au nini hasa? Kwamba watu kama hawa ndio the best in the country katika nafasi wanazopewa?
Januari ni presidential immaterial.

Haijalishi kama anapenda kuwa Rais wa Tanzania ila hana uwezo huo wa kuwa Rais na HATOKUWA Rais wa Tanzania sawa na akina Lowassa.

Rais wa Tanzania ni chaguo la Mungu tu na siyo matakwa ya binadamu. Ukiacha J K Nyerere Rais wa kwanza, kila ambaye alisemwa sana hajawahi kupata hiyo nafasi.

Kashindwa kusimamia nishati big time ma kutuacha kwenye guza la mgawo wa umeme, hana uwezo wowote kwa chochote
 
Aliongea kitu cha ajabu sana mbele za watu
 
Kwani Mzee Brigedia Moses Nnauye alikuwa na mtoto mmoja tu Nape? Kama sio, kwanini Nape tu ndio apewe "feva" na sio wengine?
Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.
 
Kwasabb Nape ndiye aliyejiingiza ktk siasa, watoto wengine wamechagua kada tofauti...humo hata kama wanabebwa hawataonekana sana.
Nape ni self made. Fuatilia historia yake. Na kwa taarifa hata Mzee Lowassa alimwogopa Nape akamfanyia mizengwe asiwe Mwenyekiti wa UVCCM na Nape akamfanyia mizengwe asiwe Rais! Mtu huyo anabebwa?
 
Back
Top Bottom