Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

Watanzania hata hatuelewi nini hasa shida zetu na nini hasa kipaumbele chetu kama Taifa !
Nape ana uwezo wa kuita chopa pale alipokuwepo na ikaja kumchukua na kumpeleka Mtama kama angetaka kufanya hivyo .

Yule sio lofa kama sisi akina Kalimanzila kwahiyo ile gari kuondoka au ingekaa pale wala sio issue kabisaaa !
Sometimes haipendezi kuwatetea hao matajiri kama vile eti wanaonewa !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!! 😳🙌
 

HAWA VICHAA NI KUWA TREAT HIVYO HIVYO NYIE NA MABWANA ZENU AKILI ZIWAKAE SAWA.
 
Kama ungejua jinsi Nape ana vyo mistreat subordinates wake, usingeandika hii kitu. Dereva alikuwa analipa kısası. Atajitetea kuwa hakuwa na namba plates za STK na yeye kazi yake ni kuendesha Waziri siyo Nape. Hivyo alienda kwa Waziri!
 
Huo ndio utaratibu siku zote.Ww umeona kwa Nape?
 
Kwahiyo na mlinzi aliyeambatana na waziri mtumbuliwaji nae akaingia mitini muda huo huo🤣🤣🤣
 
Mmmmm hizo protocol za chuki aio sawaaa....anģetoa nembo Waziri iwe STK au STL amrudishe home Salama
Waziri hachagui dreva,huyo dreva ana bosi wake na ndiye alimwamuru arudishe gari ofisini na huyo TO naye alipokea maagizo, kumbuka Nape amefukuzwa kazi,ile kutenguliwa ni polite language tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…