Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

Ungekuwa wa maana sana kama ungekuwa na nyuzi humu ukikemea yale yasiyostahili ambayo alikua akiyatenda kwan hata yeye hakuwa anafanya uugwana.
 
Wewe ndiyo kichaa. Mjinga wewe na jitu la hovyo
 
Kumbe Nape ana makampuni matano ya simu😄

The man is so rich!
 
Angetenguliwa wapo katikatika Mikumi angemshusha? simpendi Nape lakini hoja yako ni ya hovyo
Wanapaswa kutenguliwa kwa staha, sasa unamvizia mtu ameenda kutoa tuzo alafu unamtumbulia huko huko. Alafu dereva anasepa, sio sahihi kabisa.
 
Naona lichawa la Makamba na Nape umeumia kweli waume zako kutumbuliwa
 
Huyo kumuita mwenzie KIROBOTO.
Ni udhalilishaji pia.
 
Huyo dereva unamchukulia poa sana SI ndio!!?

Dr Mpango alikua na mtumishi pale kwake kwa muda mrefu sana,alipofariki akashangaa anapigiwa mizinga na gwaride la kijeshi kabisa!

Hakuficha mshangao wake "waheshimuni sana watumishi na madereva mlionao kwenye ofisi za serikali"

Huyo dereva anaweza akawa chanzo kikuu cha taarifa za mtumbuliwa,na alifuata maelekezo aliyopewa hajafanya Kwa bahati mbaya!!

Nadhani ndio maana nilisoma tetesi za mtumbuliwa kuumwa Presha!!

Mawazo huru ya mlipa kodi asiekwepa!!

Mungu ibariki Tanzania niipendayo sana!
 
Natetea ujinga au hao kina Nape ndiyo wanataka ujinga? Ni hivi: Huu ni utaratibu wa kijinga sana na haikutakiwa kuwa hivyo. Infact mimi kwanza sikuwa nimeamini kuwa anaweza kufanyiwa namna hiyo. Ila sasa: amefanyiwa hivi kwa sababu nchi yetu viongozi hawajali na wanaendesha nchi kama wanavyotaka. Kosa la nani? Hao kina Nape uliwahi kuwasikia wanajadili au kutaka mabadiliko? Kwa nini wanapokuwa kwenye madaraka wanajisahau na kushabikia uongozi wa watu kujiamulia wenyewe? Huoni hapa amevuna alichopanda?
 
Hii ni Itifaki na itabaki hivyo. Hata Rais anapokabidhi madaraka utanuana ADC wake anahama position mara moja..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…