johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye.
Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani atarejea CCM chap kwa haraka.
My take: Nape ni mtu wa karibu sana wa Membe na yule DC wa Iringa naamini maneno yake mbunge asiyepingwa.
Maendeleo hayana vyama!