Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Membe ndio mwenyekiti wa ACT wazalendo kwa sababu Zitto Kabwe na maalim Seif wamepoteza sifa ya kuwa wanachama!
Automatically yeye ndio anakuwa mwenyekiti? Au mimi ndio sijui sifa za kuwa mwenyekiti wa ACT? Ninachochojua hiyo ACT ilianzishwa na JK, Membe, Mwigulu nk kama backup ya ccm kupambana na cdm. Lakini baada ya Magufuli kuingia madarakani akalizimia taa genge lote la JK na wapambe wake ikiwemo Zito na Membe. Ila Maalim Seif inaonekana amefichwa na Zito ukweli huu wa magodfather wa ACT. Kwa sasa Membe ni zaidi ya mgombea Urais, bali ni mmiliki ambaye Zito hawezi kumtaja. Iwapo huu mgogoro utakuwa mkubwa hata baada ya uchaguzi hasa kuendana na matokeo ya uchaguzi, Membe atabaki na chama, huku Zito akirudi cdm, na kutakuwa na ACT Seif na ACT Membe. ACT Seif itaendelea japo kwa changamoto, lakini ACT Membe itakuwa kama UDP, TLP nk.