Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

Nape alivyopata Nsumba Boys zero anadhani watu tuna IQ weak..
Lowasa na Sumaye hawakutumwa kazi yoyote CCM isipokuwa ni baada ya kuwanyima stahiki zao wazee wa watu wakaufyata..hizo propoganda za kijinga kwamba Membe atarudi CCM baada ya kumaliza kaz alotumwa ni uzushi na uongo tu usio na tija.
 
Najiuliza inaposemwa kwamba Membe atarudi CCM kwani aliondoka kwa hiyari yake au alifukuzwa?
 
Membe hana Madhara kwa upinzani hata kidogo...kwa wale msiokuwa mnafahamu sababu za Membe kupitishwa na ACT alikuwa reserve endapo Lissu angefanyiwa figusi pale Mwanzoni kwa hiyo kazi yake ilishaisha siku nyingi...

CCM wameleta Membe upinzani ukamtumia Membe Kama toilet paper. Saivi kashajifia kifo Cha mende kisiasa.
 
Mi nakubali maneno ya Nape mana hawa upinzani vichwa vyao sijuwi vina mafuta ya taa au kitu gani Wapinzani walipaswa kuwekwa mstari mwekundu kwa vigogo wa ccm kujiunga na upinzani ata wakila kiapo gani, tokea maalim seif alivyosumbuliwa na kina Lipumba mpaka zile heru 3 za chama cha CUF zikawatoka walipaswa kusoma ccm and its alie are not good friends.,

Jengine ni kwamba Nape anakiri kwama ccm pasina shaka yeyote kumbe wana hiyo mipango miaka nenda miaka rudi ya kuuwa upinzani
Ni njaa tu zinamfanya aseme hivyo. Ila alivyo mjinga haoni kuwa hapa anazidi kumpaisha Lissu juu. Hata waliokuwa na nia ya kumpigia Membe kura na za upinzani zigawanyike wataacha na kumpigia Lissu.
 
Imebuma vipi wakati zito na maalim wanampigia kura lisu?.
Mission imekamilika hyo.
Yaani KUVURUGANA kwao ndo kukamilika kwa hyo MISSION
Imebuma la pandikizi la CCM kuachwa njia panda litapata kura ya mkewe tu
 
Back
Top Bottom