Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

Membe hana Madhara kwa upinzani hata kidogo...kwa wale msiokuwa mnafahamu sababu za Membe kupitishwa na ACT alikuwa reserve endapo Lissu angefanyiwa figusi pale Mwanzoni kwa hiyo kazi yake ilishaisha siku nyingi...
Membe kashamalixa kaz aliyotumwa, kwan ana siri zote za upizani..mtaelewa tu baadae
 
Nape alivyopata Nsumba Boys zero anadhani watu tuna IQ weak..
Lowasa na Sumaye hawakutumwa kazi yoyote CCM isipokuwa ni baada ya kuwanyima stahiki zao wazee wa watu wakaufyata..hizo propoganda za kijinga kwamba Membe atarudi CCM baada ya kumaliza kaz alotumwa ni uzushi na uongo tu usio na tija.
Nape hakupata ziro umemchanganya na Ole sendeka wewe!
 
Kweli vita ni Kali.

Ss hapo anaifanyia chadema kampeni. Maana ccm inamponda Membe, Membe anamponda Jpm na wao ndo wamemtuma Membe.

Inawezekana Membe akamsapoti Tl dk ya 90 au Jpm dk ya 89.

Ccm wasibweteke na wale ccm asili. Yaweza kuwa Membe anafanya kazi zao.
Membe anataka dakika 89 amsupport Magu,Hilo upinzani wameshamshtukia na hana madhara tena
 
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye.

Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani atarejea CCM chap kwa haraka.

My take: Nape ni mtu wa karibu sana wa Membe na yule DC wa Iringa naamini maneno yake mbunge asiyepingwa.

Maendeleo hayana vyama!
Nape anaongea kidemudemu dizaini...
 
Mimi nipo Chadema ila kura yangu ni kwa JPM. Huu utapeli wanaotufanyia haufai.
Chadema hakuna nzi wa kijani
JamiiForums950724688.jpg
 
Brother Membe ana falsafa zake alitaka kujenga jina kwenye uchaguzi huu ili 2025 iwe rahisi kwake kuingia Ikulu bahati mbaya karata kazichanga vibaya upepo umevuma kwa Tundu Lissu.

Atulie tu washirikiane kwa pamoja kukijenga chama akizichanga vizuri karata zake 2025 mambo yanaweza kumuendea vizuri,maana ACT wanachukua nchi kule Zanzibar mwaka huu huku Tanganyika lolote linaweza kutokea kati ya Lissu au Magufuli.
 
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye.

Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani atarejea CCM chap kwa haraka.

My take: Nape ni mtu wa karibu sana wa Membe na yule DC wa Iringa naamini maneno yake mbunge asiyepingwa.

Maendeleo hayana vyama!
Hapa wanammaliza Membe. Nahisi hii pamoja na wale jamaa walioandika barua ya kutaka Maalim na Zitto wafutwe uanachama ni njama za kumchinjia baharini Membe. Sioni sababu ya Nape kutangaza hadharani kuwa wamemtuma Membe kabla hata ya uchaguzi kumalizika.

Amandla...
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom