johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Fafanua Tafadhali!Kwa asiyejua atadhani Nape anawananga upinzani.
Hapa Nape anainanga CCM.
Fafanua Tafadhali!
Kivipi?Kwa asiyejua atadhani Nape anawananga upinzani.
Hapa Nape anainanga CCM.
Membe is dead snake, ni irrelevant.Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye.
Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani atarejea CCM chap kwa haraka.
My take: Nape ni mtu wa karibu sana wa Membe na yule DC wa Iringa naamini maneno yake mbunge asiyepingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Suleiman Methew yuko mikononi mwa Takukuru!Mbona kamuogopa mgombea mwenzake
Angethubutu kushindana ubunge awamu hii angeusikia redioni..
Endelea kujidanganya!Membe is dead snake, ni irrelevant.
Membe hana Madhara kwa upinzani hata kidogo...kwa wale msiokuwa mnafahamu sababu za Membe kupitishwa na ACT alikuwa reserve endapo Lissu angefanyiwa figusi pale Mwanzoni kwa hiyo kazi yake ilishaisha siku nyingi...
Membe ndio mwenyekiti wa ACT wazalendo kwa sababu Zitto Kabwe na maalim Seif wamepoteza sifa ya kuwa wanachama!Kumbe membe na magufuli LAO MOJA..
Act WAZALENDO MTIMUENI MEMBE