Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

Membe hana Madhara kwa upinzani hata kidogo...kwa wale msiokuwa mnafahamu sababu za Membe kupitishwa na ACT alikuwa reserve endapo Lissu angefanyiwa figusi pale Mwanzoni kwa hiyo kazi yake ilishaisha siku nyingi...
Membe kashamalixa kaz aliyotumwa, kwan ana siri zote za upizani..mtaelewa tu baadae
 
Nape hakupata ziro umemchanganya na Ole sendeka wewe!
 
Membe anataka dakika 89 amsupport Magu,Hilo upinzani wameshamshtukia na hana madhara tena
 
Nape anaongea kidemudemu dizaini...
 
Brother Membe ana falsafa zake alitaka kujenga jina kwenye uchaguzi huu ili 2025 iwe rahisi kwake kuingia Ikulu bahati mbaya karata kazichanga vibaya upepo umevuma kwa Tundu Lissu.

Atulie tu washirikiane kwa pamoja kukijenga chama akizichanga vizuri karata zake 2025 mambo yanaweza kumuendea vizuri,maana ACT wanachukua nchi kule Zanzibar mwaka huu huku Tanganyika lolote linaweza kutokea kati ya Lissu au Magufuli.
 
Hapa wanammaliza Membe. Nahisi hii pamoja na wale jamaa walioandika barua ya kutaka Maalim na Zitto wafutwe uanachama ni njama za kumchinjia baharini Membe. Sioni sababu ya Nape kutangaza hadharani kuwa wamemtuma Membe kabla hata ya uchaguzi kumalizika.

Amandla...
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…