Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaShujaa wa leo ni kitenge sasa ajiandae kusingiziwa madawa ya kulevya na mapacha wawili.
Masha, Lowassa, Kingunge, Sumaye, na sasa "Nape" wanaelewa vyema machungu ya kuwa kwenye kambi ya upinzani Tanzania au kwa kudhaniwa ni mpinzani.Uchungu wa machungu ni pale uchungu huo unapo upata na wewe .haya yanayo mpata nape sasa ni matokeo ya kushiriki dhambi nyingi alipo kuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.
Ila hao maaskari wanapata wakati mgumu sana, usalama wao hauwezi kuwa vzr baadae maana wanaishi kwa mashaka na kufuata amri.. TZ kama Pakistan jamaniHao maaskari hawana shida wao wanatekeleza walicho ambiwa na wakubwa wao hawawezi kataa
Hilo nalo neno hahaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hili tu la leo limekushangaza hivi, umewahi kujiuliza mama jesca ameshangaa mangapi toka amjue John??
aseee swali gumu sana ... mi nakwambi mnara wa babeli lugha zilikuwa hizi hizi sio zilianzia pale ,n maana kaongea kiswahili lakini hujamuelewa kutokana na matendo yake kwa ccm...nafikri hata babeli walikuwa hawaelewani hivi hvi lakini lugha ni moja.... Leo huyu wa kusema sio wa ule upandeUnasema?
Huyo anaejiita MBABE WA VITA ni lemutuz.Kwaiyo nape nae muuza unga? Aisee nchi imeshikwa na vilaza
Chaaaa... Mbona mapovu yakheee! Kwa hiyo ukiniita dumb, sijui akili duni, sijui nini automatically inakufanya wewe mwerevu sana kwa mfano... Pathetic!
Sidhani km alijua jamaa anayo machine gunNime muona asee
Jamaa kapiga kaz sana kumtuliza kijana mweye bunduki.
Alijitahidi kuondoa uoga
Aaaah katoka nduki lzm kwao vitu vigeni anaviona kwenye muvi tuHarmorapper kiboko ya mabishoo, kakimbia gun, mara moja baada ya kuiona [emoji23] [emoji23] [emoji23]