Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Mhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.

Ulianza vibaya, ila umemaliza vema.Big up Bro Nape
 
Najiuliza hivi akienda jimboni kwake atazuiliwa kuitisha press conference?
 
Harmorapper kiboko ya mabishoo, kakimbia gun, mara moja baada ya kuiona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uchungu wa machungu ni pale uchungu huo unapo upata na wewe .haya yanayo mpata nape sasa ni matokeo ya kushiriki dhambi nyingi alipo kuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.
Masha, Lowassa, Kingunge, Sumaye, na sasa "Nape" wanaelewa vyema machungu ya kuwa kwenye kambi ya upinzani Tanzania au kwa kudhaniwa ni mpinzani.

Wale walioko CCM ndio mnayaona hayo. Mwenzako akinyolewa na wewe ........
Muulizeni Manji awasimulie au Ulimwengu Jenerali wanaijua CCM vizuri sana.

Kolimba, Kombe, Makamu wa Rais Juma ...... kila mdanganyika kwa wakati wake ataelewa maana ya kusimamia haki kwenye Taifa.
 
aseee swali gumu sana ... mi nakwambi mnara wa babeli lugha zilikuwa hizi hizi sio zilianzia pale ,n maana kaongea kiswahili lakini hujamuelewa kutokana na matendo yake kwa ccm...nafikri hata babeli walikuwa hawaelewani hivi hvi lakini lugha ni moja.... Leo huyu wa kusema sio wa ule upande
 
Hana ethics za usalama hao ndo wakienda baa kidogo tu katoa bastola,sasa kila MTU akitoa bastola tutafika kweli, pale ilikuwa ni busara tu kumpa maelekezo na si vitisho,Inatakiwa arudi darasani akasome upya si kila wakati ni wa kutoa silaha.
 
Chaaaa... Mbona mapovu yakheee! Kwa hiyo ukiniita dumb, sijui akili duni, sijui nini automatically inakufanya wewe mwerevu sana kwa mfano... Pathetic!

Kilichotokea kwa Nape leo na nilichokiina kwenye surveillance footage ya Clouds ni mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa hayo mambo ya mimi kuhukumu hivi au vile sijui wewe umeyatoa wapi.

Kusoma na kuelewa ni janga kuliko tunavodhani.
 
Anatakiwa atiee ndani mara moja .... kama ameweza kumfanyia mtu aliyekuwa waziri mnamo jana itakuwaje mwananchi wa kawaida.. askari hana maadili hata kidogo... maaskari kama hao ndio hulitia doa jeshi la polisi
 
SIKU NYINGINE NI BORA UWE MABAUNSA WAKO AMBAO WELL TRAINED MANAKE KA POLISI KENYEWE KEPESI KWELI. HAIBU KWA NCHI.
 
Back
Top Bottom