kaka achana naye, hadi hapo atapoona mwanae amekuwa bwabwa ndiyo atatia adabu. Hili ni tatizo kubwa sana linaikumba Dunia kwa sasa.Ushoga ni petty issue ama kweli dunia imeisha
Wasituharibie watoto tu.Bosi wake anasemaje?
Hii hali inatisha sanaMashoga wapo wengi
Mwana wa Uasi,
Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!.
No I'm not him.Mwana wa uasi ndo nini?
Gwajima unafeli sana.
Ubarikiwe Mh. Waziri...Kanyaga hapo hapo twende zetuWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Ushoga na usagaji are not petty issues man! They are meant to destroy our society and the future of our beloved nation. Vilaaniwe na vipingwe kwa nguvu zote kutoka katika kila kona ya taifa letu na ulimwengu mzima.Anaacha kujadili madudu ya wizara yake yaliyoibuliwa na CAG anajadili petty issues.
Mbuyu ulianza kama mchicha. Wanaopiga kelele si wajinga wote. Kunajambo wameliona. Kama kwenu hawapo mshukuru Mungu na uombe sana balaa hilo lisiwakute.Ushoga tz sio tatizo Mie nabaki nimebutwa wapinga ushoga wamekuwa wengi mara milioni ya idadi ya mashoga. Mie sipo dar, mara kadhaa nipo kahama, mbogwe, bushirombo na geita mjini lkn sijawahi kukutana na shoga na hata watu wangu wa karibu sehemu hizo nimejaribu kuwaomba wanioneshe shoga hata mmoja wanayemfahamu, cha ajabu wote hawamjui hata mmoja, sasa kama wilaya zote hizo nne hazina hata shoga mmoja kwanini ushoga uonekane kama ni tishio kama ebola vile?
Bt Aambiwe aache kushiriki kuwaibia wananchi kupitia vifurushi vya internate, kuihujumu TTCL, kuzuia Local Channels kuonekana Bure DSTV kama mwanzo.Ubarikiwe Mh. Waziri...Kanyaga hapo hapo twende zetu
Hata wabakaji, wauwaji na majambazi ni binadamu wenzetu pia, kwa nini wanaadhibiwa?!Ni dhambi kuwabagua Mashoga, Mashoga ni Binadamu wenzetu.
Nchi hii Tumepewa WANADAMU na Mungu tuitawale.kaka achana naye, hadi hapo atapoona mwanae amekuwa bwabwa ndiyo atatia adabu. Hili ni tatizo kubwa sana linaikumba Dunia kwa sasa.
Wewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?Hata wabakaji, wauwaji na majambazi ni binadamu wenzetu pia, kwa nini wanaadhibiwa?!
Ewe mwana wa JOKA lenye mabawa,Nimemuasi mamaako au nani?
Sijakupangia cha kusema, unaposema kuna NGO inalea ushoga kisha nakuuliza uitaje hiyo NGO unajibu nikamuulize Mwakyembe ni kuropoka
AahaaaaaAkumbuke hata kuitisha uchaguzi halafu ukajishindisha nayo ni kama mapenzo ya jinsia moja tu
Tukiamua kupimana Leo ni wanagapi washaawahi shiriki vitendo nakwambia Serikali itaanguka siku hiyo hiyipoWewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?
Kufirana isifanywe jinai wezi na wapigaji wa fedha za kodi ndio wanatakiwa wawe magerezani sio Mashoga.
Pathetic! Sad! Sarcastic!Wewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?
Kufirana isifanywe jinai wezi na wapigaji wa fedha za kodi ndio wanatakiwa wawe magerezani sio Mashoga.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Mashoga huwa wamejazana Dodoma wakati wa vikao vya Bunge hilo linakuonyesha nini?Tukiamua kupimana Leo ni wanagapi washaawahi shiriki vitendo nakwambia Serikali itaanguka siku hiyo hiyipo