Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Ufisadi wanaofanya wenyewe si laana, au ushoga ndo imekuwa kiki inayobamba kutuliza yale madudu yaliyoibuliwa na CAG, vipi ile ibada ya mwenge yenyewe imebarikiwa na Mungu?
Nchi ngumu sana hii yani Kuna mabilioni yameliwa na baadhi ni kutoka kwenye tozo za walalahoi halafu wanakuja na kelele za ushoga ambao hata dhamira ya kuuzuia sioni isipokuwa kelele
 
Sukuma Gang watamponda

Sheria ipo wazi kuwa Tanzania haituruhusu hayo mambo, wala hakuna chochote kilichobadilika ila utasikia mijitu iliyokosa kazi ikidai serikali inaruhusu ushoga
Asante kwa taarifa kiongozi.
 
Wakati juzi juzi tu Nape kahojiwa kw podcast fulani na mtu fulani hahahah....mlango ushafunguliwa dear zamani sana pitisheni kila sheria hadi kifo bado wapo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

 
Anaacha kujadili madudu ya wizara yake yaliyoibuliwa na CAG anajadili petty issues.
Hiyo ya ushoga siyo petty issue, labda wewe una petty brain ndiyo maana umeshindwa kuelewa
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Katika mambo naishangaa serikali ni jinsi wanavotaka kudeal na masuala ya ushoga na tabia nyingine sawa na hizo!
Binafsi niseme kuwa wanasaidia sana kuzifanya hizo tabia zishamiri na watu wengi watake kujua mbivu na mbichi!
Kwanza washachelewa! Sheria si zipo wazi kuanzia zile za Kikoloni kusimamia masuala ya jinsia moja, wamezisimia vipi?

Zaidi wakitaka ushoga usindelee kwa hii kasi inayoonekana huko mitaani wafanye yafuatayo:
1. Wapige marufuku utitiri wa burudani na nyimbo za nusu uchi mtaani na kwenye tv stations.
2. Wapige marufuku ndoa za utotoni (wale watoto wa miaka 13, 14 n.k wanafanyiwa mambo mengi ya ovyo wakiyazoea wanawaambukiza wengine)
3. Wondoe shule za jinsia moja. Shule zote ziwe mixed school.
4. Wasiongee kisiasa kwenye masuala ya kijamii yanayohitaji tafiti za kisayansi!

Mwisho: wasituzuge kwa kelele za ushoga huku wanatuibia MABILIONI
 
Habari za ushoga zimevuma na kushika kasi sana kama habari za mfalme Zumaridi kwa sababu ya social media. Sasa hivi kila mtu ana ka online TV chake basi ni fujo tupu.
 
Wapo wanadamu raia wa nchi ambao hawamuamini Mungu au mungu wao ni tofauti na mungu wako.
 
Waponze wenzako, lakini ujipange kuwapelekea uji segerea maisha yao yote.
Cha kufanya kama kitaa kwako kuna shoga tia moto tu koz tukiyaachaa yatakuja kutuharibia hata matoto yetu kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…