Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nape aache utoto na mambo yetu wanawake ya kuchambana. Halafu huyu eti naye alikuwa waziri. Zero kabisa.
Acha CCM wanyukane, haya mambo hatukuwahi yaona kwa muda mrefu kidogo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape aache utoto na mambo yetu wanawake ya kuchambana. Halafu huyu eti naye alikuwa waziri. Zero kabisa.
Lakini Ile kauli ya "hatukuwamaliza wahuni' ni hatari zaidiSiyo kauli ya kuchekea hii! Ni hatari kwa usalama wa chama na Taifa!
Wahuni ni wale wakwepa kodi. Leo kalifafanua hili. Na ameeleza ukitaka kuwajua nenda TRA watakupa takwimu sahihi.Lakini Ile kauli ya "hatuwa.aliza wahuni' ni hatari zaidi
Watu kupigwa marisasi na kufanywa vilema bila kisa, wasiojulikana kutamalaki tena kwabkidi zetu wenyewe, ben saanane, Azory, watu kutekwa, maiti kuokotwa ufukwen, watu kunyanganywa fedha zao kibabe, watumishi wa umma na wanasiasa kufukuzwa kibabe, ukabila nk nk
Hilo ndio tatizo la Nape ni majuzi tu nilisema huyu dogo anadhani anayo haki ya kuzaliwa kuwa kiongozi nchi hii.
Ana majivuno afadhali basi angekuwa na huo uwezo katika uongozi.
Jamaa limbukeni kweli kweli yaani. Hii nadharia ya watu kudhani wao ndio wenye hati miliki ya CCM wakati wote wamekikuta na kujiunga; hata huyo Makongoro mwenyewe hajisikii kama Nape.
Ok kwa hiyo akina makonda mtoto mpendwa wa Mwendakuzimu walipoingiza samani walilipakodiWahuni ni wale wakwepa kodi. Leo kalifafanua hili. Na ameeleza ukitaka kuwajua nenda TRA watakupa takwimu sahihi.
Hiyo hatari ilo wapi. Hebu iabainishe hapa.Siyo kauli ya kuchekea hii! Ni hatari kwa usalama wa chama na Taifa!
Hakuna kauli ninayo ichikia kama hii ya kinawenyewe, watu wanao toa kaulikama hii moyoni wanasema nchi inawenyewepia nachukiasana kunasiku huu ujinga utafutika kabisa.Kwa nini Nape anasema kina wenyewe
Hii kauli ni mzito sana.
Mbowe atolewe tuanza kampeni mapema
Umeme na maji ni shida kuna wenyewe watu wanaofanya figusi kuwa nyanyasa wananchi
Rais Awamu ya 6 kuongoza Nchi hii itampa shida
Kwema mkuuHilo sio jiwe, huo ni msuto wa style ya kigodoro
Magufuli ule uchaguzi wa Serikali za mitaa na ichaguzi mkuu lilikuwa ni bao la nini lileAnakaribia kupewa kitengo! Kile kikao cha juzi cha kumsifia brigedia Nauye kilikuwa kikao cha kumpaka rangi kijana wake wa bao la Mkono na kuwaandaa kisaikolojia tu[emoji28]
Mzee wa Mapapai yuko njema sana [emoji38]katika michakato ya connection!
Hadi mwenyekiti aelewe kuna shida ndani ya chama chake, kitakuwa tayari vipande saba.Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
CCM hakuna migogoro. CCM wako pamoja sanaSitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Kiroboto si yule mnafiki aliyetetea katiba mpya, alipopewa cheo akawanunua wapinzani KWA hela za walipakodi Ili Waunge mkono juhudi hewa na ulaghai!;Wahuni ni wale wakwepa kodi. Leo kalifafanua hili. Na ameeleza ukitaka kuwajua nenda TRA watakupa takwimu sahihi.
Mwangosi, ulimboka n.k. umekumbuka?Watu kupigwa marisasi na kufanywa vilema bila kisa, wasiojulikana kutamalaki tena kwabkidi zetu wenyewe, ben saanane, Azory, watu kutekwa, maiti kuokotwa ufukwen, watu kunyanganywa fedha zao kibabe, watumishi wa umma na wanasiasa kufukuzwa kibabe, ukabila nk nk
Polepole mnafiki, labda humjui... Polepole analalamikia michezo michafu ya siasa aliyoiasisi yeye na mwendazake, kutumia vyombo vya serikali kama TCRA kudhibiti wakosoaji..Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.
Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Mmh kwani ujana unaanzia miaka mingapi mpaka mingapi?Nape anajishushia anajishushia heshma zaidi na maneno na hizi tabia za kike.
Nape bado ni kijana sana na anamaisha mengi kwenye chama na siasa, nadhani anapaswa kuchunga kinywa chake.
Yaani kwa akili yake ya kijinba kuitisha kumbukizi ya baba yake ndo aonewe huruma hao wazee unaowaona asifikiri wapo mda wote mambo yanabadilika!Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.