Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Watu kupigwa marisasi na kufanywa vilema bila kisa, wasiojulikana kutamalaki tena kwabkidi zetu wenyewe, ben saanane, Azory, watu kutekwa, maiti kuokotwa ufukwen, watu kunyanganywa fedha zao kibabe, watumishi wa umma na wanasiasa kufukuzwa kibabe, ukabila nk nk

Hi hivi hakuna utawala duniani popote ambai haujawahi kuua, kuteka.

Lissu na Fatma Karume kuwapigia debe wazungu ni uhaini. Wazungu hawafanyi hivyo kwenye rasilimali zao. Wanaungana kama sasa kumthibiti Mrusi, Mchina. Afrika tayari ibilishabitiwa.

Kibiti, Mkuranga, Dar kungekuwa na Ugaidi wa kutisha. Maamuzi magumu kwa taifa yanahitajika ukiwa kiongozi wa ukweli inabidi kufanya maamuzi.
 
Hilo ndio tatizo la Nape ni majuzi tu nilisema huyu dogo anadhani anayo haki ya kuzaliwa kuwa kiongozi nchi hii.

Ana majivuno afadhali basi angekuwa na huo uwezo katika uongozi.

Jamaa limbukeni kweli kweli yaani. Hii nadharia ya watu kudhani wao ndio wenye hati miliki ya CCM wakati wote wamekikuta na kujiunga; hata huyo Makongoro mwenyewe hajisikii kama Nape.

Tatizo kubwa hawezi kusimama bila kodi zetu


Pesa zako zote unampa huyu kilaza. 20, 30% percent.

Uwe na akili ya kujitegemea. Ujiajiri, Kuna vijana Wazalendo wanatafuta kazi, nafasi serikalini.
 
Kwa nini Nape anasema kina wenyewe

Hii kauli ni mzito sana.
Mbowe atolewe tuanza kampeni mapema
Umeme na maji ni shida kuna wenyewe watu wanaofanya figusi kuwa nyanyasa wananchi

Rais Awamu ya 6 kuongoza Nchi hii itampa shida
Hakuna kauli ninayo ichikia kama hii ya kinawenyewe, watu wanao toa kaulikama hii moyoni wanasema nchi inawenyewepia nachukiasana kunasiku huu ujinga utafutika kabisa.
 
Anakaribia kupewa kitengo! Kile kikao cha juzi cha kumsifia brigedia Nauye kilikuwa kikao cha kumpaka rangi kijana wake wa bao la Mkono na kuwaandaa kisaikolojia tu[emoji28]

Mzee wa Mapapai yuko njema sana [emoji38]katika michakato ya connection!
Magufuli ule uchaguzi wa Serikali za mitaa na ichaguzi mkuu lilikuwa ni bao la nini lile
Maana hakuna uchaguzi uliowahi kunajisiwa kama ule katika historia ya Tz
 
Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808

Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Hadi mwenyekiti aelewe kuna shida ndani ya chama chake, kitakuwa tayari vipande saba.
Hivi sasa yuko busy kumshughulikia Mbowe kumbe magaidi yuko nao Ccm.
#Mbowe sio gaidi
 
Wahuni ni wale wakwepa kodi. Leo kalifafanua hili. Na ameeleza ukitaka kuwajua nenda TRA watakupa takwimu sahihi.
Kiroboto si yule mnafiki aliyetetea katiba mpya, alipopewa cheo akawanunua wapinzani KWA hela za walipakodi Ili Waunge mkono juhudi hewa na ulaghai!;

Ni fedha kiasi gani zilipotea kwenye chaguzi feki ukilinganisha na TRA bills za kodi za hao wahuni??
 
Watu kupigwa marisasi na kufanywa vilema bila kisa, wasiojulikana kutamalaki tena kwabkidi zetu wenyewe, ben saanane, Azory, watu kutekwa, maiti kuokotwa ufukwen, watu kunyanganywa fedha zao kibabe, watumishi wa umma na wanasiasa kufukuzwa kibabe, ukabila nk nk
Mwangosi, ulimboka n.k. umekumbuka?
 
Ni kauli ya ovyo. Lakini ndio jadi ya vijana wa CCM. Wakipata ujiko huwa wana kauli za hali ya chini sana dhidi ya wapinzani na dhidi ya awamu zilizotangulia.

Akina Hapi, Musiba, Heri James, nk. nyakati hizi wanaona haya tu wakikumbuka walivyokuwa wakiropoka. Watu kama Nchemba angalau wamekua na kuanza kuielewa dunia. Payuka payuka za ovyo zimepotea.
 
Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.

Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Polepole mnafiki, labda humjui... Polepole analalamikia michezo michafu ya siasa aliyoiasisi yeye na mwendazake, kutumia vyombo vya serikali kama TCRA kudhibiti wakosoaji..
 
Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808

Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Yaani kwa akili yake ya kijinba kuitisha kumbukizi ya baba yake ndo aonewe huruma hao wazee unaowaona asifikiri wapo mda wote mambo yanabadilika!
 
Back
Top Bottom