Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muumin dhahir wa bao la mkono.

Karudia tena ule ukweli bila kupindisha - bila ridhaa ya mteuzi wake!
 
Nape safari hii Hatutakubali, Nakuhakikishia kwamba Nchi utaipasua wewe na wenzako, hatutakubali ujinga tena, Waambie kabisa wanaokutuma

Safari hii Patachimbika
Huyu mbona ni mpumbavu sana kichwani? Amevimbiwa maharage ya wapi?
 
Ila haya yashatamkwa na wengi kwa namna tafauti.
"Serikali haitolewi kwa karatasi "
"Goli la mkono"

"Utatangazaje mpinzani kashinda wakati mshahara nakupa mimi "
"Hata mukipigia kura upinzani CCM itaongoza nchi "
 
Huo ndio ukweli wa chaguzi za Tanzania wala Nape hajakosea kitu!
 
Hivi kumbe NEC na Msajili wa vyama wapo!
Huyu ndiye alipaswa kuitwa kwenye kamati ya maadili CCM lakini mmmhh!!
Ifike wakati Rushwa ihalalishwe kila mtu ajue ni haki kutumia chochote ulichonacho kupata unachotaka.
 
Majizi yameanza kuanika siri zao hadharani.

Angeongeka kwenye list hapo sio tu anayehesabu , na kutangaza tu.

Aongeze na msaada wa POLICCM na UsalamaCCM
View attachment 3043880View attachment 3043881
Hii ni Za
Majizi yameanza kuanika siri zao hadharani.

Angeongeka kwenye list hapo sio tu anayehesabu , na kutangaza tu.

Aongeze na msaada wa POLICCM na UsalamaCCM
View attachment 3043880View attachment 3043881
Hii ni Zanzibar bila shaka Huwa Wana siku maalum kwa ajili ya vikosi na majeshi ya ulinzi kupiga kura na humo ndipo watu wanapofanya uharamia waoalafu unawakuta na mikanzu Yao mtaani wakijifanya Wacha Mungu wanaanza kukusumbua kisa tu unakaanga zako nguruwe ndani mwako.
 
Utaratibu uliompa Uraisi Hussein Mwinyi. Halafu anabadilisha misikiti kila Ijumaa.
 
Kauli ya waziri yoyote hadharani ndio kauli ya serikali.
Nape amewakilisha serikali na chama chake. Kama kauli Ile sio ya serikali Basi mama amuwadibishe.
Mnakumbuka kauli za kibabe za Bashiru, kwamba usipotumia dola kubaki kwenye dola.
Akasahau kwamba juu Kuna mtetezi wa wanyonge. Yuko wapi Sasa mwana CUF aliyevamia CCM na kujiona yeye Ni ccm zaidi kuliko Kinana na Makamba?
 
Nape achunge mdomo wake na awe anachagur maneno ya kusema kwenye hadhara.Mamlaka ya uteuzi iangalie maadili ya wanaoteuliwa
 
Uko sawa kabisa na ndio uhuni unafanyika ona hii kama hii hata haieleweki sare ni za jeshi gani maana ndio wanachanganya na kujirudia.
 
Una matatizo ya Afya ya Akili?

Kwahiyo Kama nje ya Uchaguzi basi ni sahihi kunena kauli tatanishi na zenye kutishia Amani na Usalama wa nchi na wananchi?

Kwamba hizi kauli hazina Tija?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…