Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Kumbe ukiitwa unaitika Bimkubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Usikatae mwito, kataa uliloitiwa.Kumbe ukiitwa unaitika Bimkubwa!
Muumin dhahir wa bao la mkono.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kauli ya Chama ~ CCM yakataa maneno aliyosema Nape kuhusu ushindi wa kura unategemea na anayehesabu kura
Pia, utetezi wake: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
PIA SOMA
- Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo
Huyu mbona ni mpumbavu sana kichwani? Amevimbiwa maharage ya wapi?Nape safari hii Hatutakubali, Nakuhakikishia kwamba Nchi utaipasua wewe na wenzako, hatutakubali ujinga tena, Waambie kabisa wanaokutuma
Safari hii Patachimbika
Ila haya yashatamkwa na wengi kwa namna tafauti.Nape amemdhalilisha mama ina maana yeye na CCM hakuna alilofanya kwa nchi hii ili kuweza kushinda kura bila kuiba. Kuna haja gani ya wananchi kujiandikisha kupiga kura hii kauli NAPE aifute vinginevyo amewaweka ccm kwenye hali mbaya ya kusafisha hali ya hewa kisiasa. Lissu alikuwa sahihi kukemea fedha chafu kutoka ccm kwenda chadema. kwa kauli hii, Vyombo vya dola,dini zote na asasi za kiraia vina haja sasa kusimama na wananchi kuitafuta haki katka uchaguzi ujao kabla mambo hajaharibika. watu wamenyong'onyea sana kwa kauli hii. imetonesha vidonda.
Aibu tupuSio tu maigizo.....yani Uchaguzi kwao ni kama Highlight tu
Huo ndio ukweli wa chaguzi za Tanzania wala Nape hajakosea kitu!Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kauli ya Chama ~ CCM yakataa maneno aliyosema Nape kuhusu ushindi wa kura unategemea na anayehesabu kura
Pia, utetezi wake: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
PIA SOMA
- Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo
Kelele za churaNape safari hii Hatutakubali, Nakuhakikishia kwamba Nchi utaipasua wewe na wenzako, hatutakubali ujinga tena, Waambie kabisa wanaokutuma
Safari hii Patachimbika
Mkuu,ulishawahi kufika huko jehanamu?Mungu angekuwa mwepesi hivyo jehanamu isingekuwa inafurika watu kiasi hicho.
Una uhakika,Ndugu?Ccm imuite kwenye maadili amekosea sana.
Kama yeye amezoea hivyo anatakiwa ajue kwmaba Samia hahitaji kuiba Ili ashinde maana Kila mtu anaona Rais anachofanya Nchi nzima katika kutekeleza ilani 👇👇
Hii ni ZaMajizi yameanza kuanika siri zao hadharani.
Angeongeka kwenye list hapo sio tu anayehesabu , na kutangaza tu.
Aongeze na msaada wa POLICCM na UsalamaCCM
View attachment 3043880View attachment 3043881
Hii ni Zanzibar bila shaka Huwa Wana siku maalum kwa ajili ya vikosi na majeshi ya ulinzi kupiga kura na humo ndipo watu wanapofanya uharamia waoalafu unawakuta na mikanzu Yao mtaani wakijifanya Wacha Mungu wanaanza kukusumbua kisa tu unakaanga zako nguruwe ndani mwako.Majizi yameanza kuanika siri zao hadharani.
Angeongeka kwenye list hapo sio tu anayehesabu , na kutangaza tu.
Aongeze na msaada wa POLICCM na UsalamaCCM
View attachment 3043880View attachment 3043881
Utaratibu uliompa Uraisi Hussein Mwinyi. Halafu anabadilisha misikiti kila Ijumaa.Hii ni Za
Hii ni Zanzibar bila shaka Huwa Wana siku maalum kwa ajili ya vikosi na majeshi ya ulinzi kupiga kura na humo ndipo watu wanapofanya uharamia waoalafu unawakuta na mikanzu Yao mtaani wakijifanya Wacha Mungu wanaanza kukusumbua kisa tu unakaanga zako nguruwe ndani mwako.
Uko sawa kabisa na ndio uhuni unafanyika ona hii kama hii hata haieleweki sare ni za jeshi gani maana ndio wanachanganya na kujirudia.Hii ni Za
Hii ni Zanzibar bila shaka Huwa Wana siku maalum kwa ajili ya vikosi na majeshi ya ulinzi kupiga kura na humo ndipo watu wanapofanya uharamia waoalafu unawakuta na mikanzu Yao mtaani wakijifanya Wacha Mungu wanaanza kukusumbua kisa tu unakaanga zako nguruwe ndani mwako.
Hii ni Za

Ikafanywe nini huko? Kwani wameambiwa Umoja wa Mataifa ama wameambiwa Watanzania?Hii kauli tunaituma Umoja wa Mataifa.
Hata hivyo hanenei wajingawajinga chiefJinenee mwenyewe na nafsi yako.
Una matatizo ya Afya ya Akili?Hayo yamesemwa nje ya uchaguzi . Wakati haujafika na wala hayo yaliyosemwa hayajatendeka. Acheni siasa chafu. Mangapi yanaongelewa kwenye majukwaa yenu . MTAENDELEA KUSEMA VICHACHE ambavyo havina TIJA . nguvu wekezeni kwenye SERA BORA , acheni kufanya siasa za MATUKIO . wenzenu ngoma inazidi kusonga mbele . SAMIA NJIA NYEUPE 2025