The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Kuna mambo yanatia hasira ikiwepo na hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ni nani kwenye Nchi hii hata asifukuzwe?Rais gani amfukuze Nape?
Bora yule Henry Kisanduku angempiga risasi tu siku ile pale Protea.Tulimhurumia alivyoburuzwa na Jiwe kumbe tulifanya kosa kubwa
Kwa kauli hii aliyotoa…. Hatofukuzwa ndio utajua ni nani….Na
Nape ni nani kwenye Nchi hii hata asifukuzwe?
Unamcheka nani? Waliotukanwa ng'ombe wakajificha kisa ni wengi au wachache walioandamana kupinga kuitwa ng'ombe?. Tumia akili kabla ya kuropoka.Wala usiogope! Muulize Mange Kimambi. Hana hamu nao hao. Mkwara mwingi mitandaoni, lakini D-Day ikifika, utacheka zaidi ya Standing Comedies za Kibongo!
Nape ameishiwa maarifa kabisa.Another Goli la Mkono?!🤔 ...safari hii...nasema safari hiii...kidumu cha Petroli namchoma Mwizi wangu hadharani.🤬🤬🤬💥
Nape ningekuwa ni mpiga kura wa Mtama ningekupigia Mwano.
Hakila safari hii wasituchezee kabisa.Nape safari hii Hatutakubali, Nakuhakikishia kwamba Nchi utaipasua wewe na wenzako, hatutakubali ujinga tena, Waambie kabisa wanaokutuma
Safari hii Patachimbika
Huyu asilete mambo ya kitoto kwenye uongozi wa nchi. Nakumbuka enzi za idi amin alisema jambo la uongo dhidi ya Tanzania. Alipobanwa kwenye mkutano na viongozi wengine akasema alikua anatania. Mwalimu nyerere akaonya nchi hua hazitanii. Kwa hivyo Nappe hakika haitendei sawa nafasi ya uwaziri.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kauli ya Chama ~ CCM yakataa maneno aliyosema Nape kuhusu ushindi wa kura unategemea na anayehesabu kura
Pia, utetezi wake: Nape: Kauli ya "Uchaguzi inategemea nani anahesabu na kutangaza matokeo" ilikuwa ni ya utani
chadema walichekelea kifo cha mzalendo mleta maendeleo... mimi niliwaambia haya yanayo kwenda kutokea ....ukweli ni kwamba samia anakwenda kuangamiza taifaWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kauli ya Chama ~ CCM yakataa maneno aliyosema Nape kuhusu ushindi wa kura unategemea na anayehesabu kura
Pia, utetezi wake: Nape: Kauli ya "Uchaguzi inategemea nani anahesabu na kutangaza matokeo" ilikuwa ni ya utani
Hajawahi kuwa na akili hata siku moja"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Natofautiana na wewe kwa hili: SIYO POMBE BALI NI MSIMAMO WAOOO.! Kama mtu alisema atashangaa pamoja na kumpa gari na mshahara harafu msimamizi atangaze mshindi nje ya mawazo ya paymaster general.Pombe zitaendelea kumgharimu