Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Mimi swali ninalojiuliza ni je, Nape ana uhakika Mungu ameshamaliza kuamua ugomvi? Ni muhimu kua na kiasi kwenye kunena.
 
Kifo cha Jiwe lazima kishangiliwe sababu Yuko peponi anawashughulikia MAITI HEWA,..
 
Jinsi ulivyoishi na binadamu wenzako ulipokuwa hai, ndivyo utakavyokumbukwa ukiwa mfu. Msilazimishe mazuri, kama yapo yatasemwa tu. Nimecheka hapo unaposema "mbele ya wananchi waliomchagua kwa kura nyingi " 😀
Wacha na mimi nicheke😂😂😂
 
Acheni ujinga. Nyie mbona kila kukicha mnamsema vibaya Idd Amin au Hitler? Ukizuia watu wasikuseme ukiwa hai watakusema ukiwa mfu.

Kupanga ni kuchagua
Kabisa, ukiwa kiongozi na ukafanya UHUNI historia itakuhukumu tu. Ndio sababu Nduli Idd Amin Dadaa historia ya UHAYAWANI wake itaendelea kusomwa na kusimuliwa vizazi na vizazi, Magufuli ni nani yeye asisemwe?
 
Satan company....
 
Vipi Nape sio waziri mpaka leo?
Nyinyi ni watu wa ajabu. Mnamchukia Mtu anayemsema vibaya marehemu( maneno tu) ila mlikuwa mkimsifia mtu anayebambikiza nwenzake kesi ya ubakaji anaishia jela na kuacha familia yake kwa sababu tu za kutifautuana kisiasa?
 
Nape sijui yuko wapi na ile kauli yake ya Mungu kaamua ugomvi!
 
Mungu ameamua ugomvi kaka amerudi CCM tena, yalikuwa ni maneno ya mbunge wa Jimbo la Mtama Mh Nape Nauye wakati akimkaribisha aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo marehemu Benard Membe.

Marehemu Benard Membe aliondoka CCM baada ya kutofautiana na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, lakini akatangaza kurejea CCM baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya 6 wa Tanzania.
 
Mnalipwa sh ngapi kuandika haya?
 
Uamuzi wa 17/03/2021 ndiyo ulikuwa wa maana
 
Bado wengine!
 
Membe hakutofautiana na Magufuli bali alishindwa azma yake ya kuwa mgombea urais 2020 badala ya Magufulu kupitia CCM. Hakuwa na jinsi kwani ilibidi atafute chama kingine ambacho kungemteua agombee urais 2020 na chama kilichokuwa tayari kilikuwa ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…