Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

tabu watanganyika tunawaza sana jana na jana ilishapita kibaya zaidi akili zao zinakumbatia mapungufu na maovu na sio mazuri yaliyofanywa. Idd Amini ndiye aliyewapa maisha waganda kwa kutaifisha biashara za wahindi na kini sisi tumekuwa chanzo cha ulalamika utafikiri alikuwa rais wetu na kiukweli hakutenda ubaya kwa kiasi hicho tuliingia kwenye vita kwa sababu ya urafiki wa Nyerere na Obote hata daraja la mto Kagera tulilivunja wenyewe.
 
Mimi sijaelewa hapo kuwa umemwita Ndugu kwa sababu hastahili kuitwa Mheshimiwa, ina maana sisi akina “Ndugu” wengine unatuchuliaje?!
 
Hiyo maana ameisema yeye au wewe?!!!
 
Sisi wote tutakufa na tuna makosa mengi tunayowafanyia wengine,kauli ya Nape haikubaliki na kiongozi kutoa kauli kama hiyo sidhani kama ni maadili mazuri
 
L
Magufuli ataendelea kusemwa mpaka mwisho wa nyakati. Anasemwa kwa uovu wake uliopitiliza. Ukatili, chuki, wizi, uuaji, ukabila, ubinafsi, kujikweza nk. Asante Mungu kwa kuingilia kati kutuondolea aibu ile
 
Na mm namsema bora yuko kuzimu uko.alizuia kumsema akiwa hai kajifia napo tusimseme? Katesa sn watu nchi hii n vilema au kupotezwa mazima
 
Acheni ujinga. Nyie mbona kila kukicha mnamsema vibaya Idd Amin au Hitler? Ukizuia watu wasikuseme ukiwa hai watakusema ukiwa mfu.

Kupanga ni kuchagua
Mfu bado anawabutua hata baada ya kufa!

Inaonekana alikuwa anawafikisha kunako kipindi anawabutua akiwa hai
 
Leadership style ya maguu ndio ilizaa haya matatizo, that man was too materialistic ndio sababu akatengeneza chuki na ambao hawakumsifia wala kumuogopa. Hizi chuki sio rahisi kuziondoa maana bado kuna watu wanataka kupita kwenye kivuli chake
Chuki wanazo wqpumbavu
 
Lazima tumseme kwa maovu yake hadi mifupa yake igeuke huko kaburini Chato
 
CHAWAISM SYNDROME huu ugonjwa ni mbaya kuliko hata pepopunda.
 
Kiburi cha uzima hapo anajiona he is immuned to problems ila kuna siku na haipo mbali atatambua kuwa yeye ni binadamu wa kawaida tu.
 
Nape keshachanganyikiwa sana. Siasa anaziona kama na ubinafsi zaidi na anahisi anamiliki hii nchi.
 
Usichukie unaposikia maneno kama hayo Bali muonee huruma yule ambaye hajui kuwa hapa duniani sisi sote ni marehemu watarajiwa !! Maandiko yanasema " ishi utakavyoishi lakini utakufa tu !! "
 
Mstaafu Mwinyi amewahi kunukuliwa kuwa ' MAISHA NI HADITHI '

Mstaafu Mwinyi akaendelea kusema
BASI TUWE NA HADITHI NZURI ZA KUSIMULIWA BAADA YA MAISHA HAYA

Rais Magufuli alichagua HADITHI YAKE..
Acha asemwe kwakuwa yeye mwenyewe alipokuwa HAI alichagua HADITHI MBAYA YA KUSEMWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…