mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Naomba kirefu cha CCV !!Mhhh!! ugomvi wa CCM vs CCV ngoja nichukue jembe nikalime. Hayanihusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kirefu cha CCV !!Mhhh!! ugomvi wa CCM vs CCV ngoja nichukue jembe nikalime. Hayanihusu.
Mzee wa chato aliamini sana kwenye vitu akasahau umoja wakitaifa ambao ndio uhai wenyewe wa nchi. Kwa mfano machinga walikuwa untouchable kiasi cha kupanga bidhaa mbele ya maduka ya watu. Baadhi ya wateule zake walikuwa na nguvu kiasi cha kutisha viongozi wenzao, kujiona yeye ndio pekee anaeweza kufanya vitu vitikee kiasi cha kusema nikifa mimi sijui nani ataweza. Materialistic leader anakuwa na element za udictator.Chuki wanazo wqpumbavu
Aiseeeee !!kuna watu walistahili kufa hata mara mbili au tatu
Nenda kwa GROUND ambako ndiko kuliko watu wengi nchini ukasikie jamaa anasemwaje na walio wengi !!!Mstaafu Mwinyi amewahi kunukuliwa kuwa ' MAISHA NI HADITHI '
Mstaafu Mwinyi akaendelea kusema
BASI TUWE NA HADITHI NZURI ZA KUSIMULIWA BAADA YA MAISHA HAYA
Rais Magufuli alichagua HADITHI YAKE..
Acha asemwe kwakuwa yeye mwenyewe alipokuwa HAI alichagua HADITHI MBAYA YA KUSEMWA
Ni ccm hiyo hiyoNaomba kirefu cha CCV !!
Ndio mmekumbuka shuka kumekucha. Siasa za Nape ni zile zile za ccm wengi.Nape keshachanganyikiwa sana. Siasa anaziona kama na ubinafsi zaidi na anahisi anamiliki hii nchi.
Maneno mazuri kama haya yangesemwa pia toka zamani. Why now? Kwanini nape tu aonekane anakosea?Kiburi cha uzima hapo anajiona he is immuned to problems ila kuna siku na haipo mbali atatambua kuwa yeye ni binadamu wa kawaida tu.
Acha wamseme ili walio hai wajifunze.Habarini JF GT…!!!
Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu.
Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri. Lakini hii imekuwa Tofauti kabisa kwa baadhi ya Wanachama wa CCM na Viongozi wa CCM, wamekuwa Wakimsema Hayati Magufuli Hadharani mbele ya wananchi waliomchagua kwa kura nyingi. Hakika CCM inajiua Yenyewe
Jana Ndugu Nape (Namuita Ndugu kwasababu kwangu mimi sioni kama Anafaa kupewa heshima ya Jina Mheshimiwa) wakati wa Sherehe zile alisimlia mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na Yeye alivyo nusurika kufukuzwa CCM na Membe kumsadia, kipindi hicho naamini Magufuli hakuwa Kiongozi mkubwa wa CCM, Nape aliongea kumaanisha kuwa Magufuli alikuwa chanzo kikubwa cha Membe kuondoka CCM na Kutengeneza ugomvi mkubwa na Wana CCM wengine.
Nape akaenda mbali zaidi na Kusema Kuwa Ugomvi huo Mungu ndio ameamua na sasa bahari imetulia iko shwari, akimaanisha Kifo cha Magufuli ni Maamuzi ya Mungu katika Kutatua ugomvi wa Wana CCM na Membe… Akaendelea mbele na Kusema nani Kama Rais Samia Suluhu.
Ikumbukwe kuwa Huu utamaduni uliopo sasa kwa kumsifia rais hata pale anapo fanya Baya ulianza kipindi Cha Magufuli na Umeendelea hadi awamu hii kwa kusema Mama anaupiga mwingi…. Nyakati za Kikwete, Mkapa hakukuwa na huu ujinga.
Turudi kwenye mada, Nape Nauye ni lini Ataacha kuwa na Kinyongo na Marehemu? Nilini ataacha Kumsema Marehemu? Huu umekuwa muendelezo wake toka Awe Waziri tena Wa Habari, Je aliteuliwa kuja Kumsema Marehemu?
Ni wakati sasa Wa Nape kumuacha Marehemu Apumzike Mahali pema na kwa amani… Asitafute chuki na watu zisizo za msingi
Waache wawe na kinyongo majibu yao yapo soon watachekea chooni. EndHabarini JF GT…!!!

Habarini JF GT…!!!

Hadithi ya JPM haipo midomoni mwa wanasiasa wenziwe, ukiitaka ingia mtaani.Mstaafu Mwinyi amewahi kunukuliwa kuwa ' MAISHA NI HADITHI '
Mstaafu Mwinyi akaendelea kusema
BASI TUWE NA HADITHI NZURI ZA KUSIMULIWA BAADA YA MAISHA HAYA
Rais Magufuli alichagua HADITHI YAKE..
Acha asemwe kwakuwa yeye mwenyewe alipokuwa HAI alichagua HADITHI MBAYA YA KUSEMWA
Nadhani akina Nape wanafikisha ujumbe kwa waliohai.SISI TUJUE KILA TUFANYALO LINA MADHARA KAMA SIO LEO BASI KESHO HIVYO TUWE MAKINI NA MATENDO YETU.Acha wamseme ili walio hai wajifunze.
!! Si mchezo !!!Ni ccm hiyo hiyo
Niko ground daily... Magufuli anasifiwa kwa kujaza wamachinga milangoni mwa watu na barabarani..Nenda kwa GROUND ambako ndiko kuliko watu wengi nchini ukasikie jamaa anasemwaje na walio wengi !!!
Kibaya zaidi ni wanaccm wenzake ambao wengine aliwapa ubunge, uwaziri na vyeo mbali mbali.Huyo Marehem anasemwa na watu wengi sana.Huwezi kuwaziba midomo wote
Kwamba mahakama zilibinywa?Niko ground daily... Magufuli anasifiwa kwa kujaza wamachinga milangoni mwa watu na barabarani..
Maisha yapo taight kwakuwa mafuta yamepanda Duniani.. Lakini kuna unafuu kwa mbali... Kidogo hata Mahakama zinaanza kupumua hasa kwenye maamuzi..