Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Nape alitembea kwa miguu kutoka Ocean road mpaka Ikulu kumuomba msamaha Magufuli kwa hiyo chuki zake jamii inajua ni unafiki tu.

Huyu Membe wake hata kijiji cha Rondo alipata kura 50
 
Chuki wanazo wqpumbavu
Mzee wa chato aliamini sana kwenye vitu akasahau umoja wakitaifa ambao ndio uhai wenyewe wa nchi. Kwa mfano machinga walikuwa untouchable kiasi cha kupanga bidhaa mbele ya maduka ya watu. Baadhi ya wateule zake walikuwa na nguvu kiasi cha kutisha viongozi wenzao, kujiona yeye ndio pekee anaeweza kufanya vitu vitikee kiasi cha kusema nikifa mimi sijui nani ataweza. Materialistic leader anakuwa na element za udictator.
 
Nenda kwa GROUND ambako ndiko kuliko watu wengi nchini ukasikie jamaa anasemwaje na walio wengi !!!
 
SISI TUJUE KILA TUFANYALO LINA MADHARA KAMA SIO LEO BASI KESHO HIVYO TUWE MAKINI NA MATENDO YETU. Acha wamseme ili walio hai wajifunze.
 
Waache wawe na kinyongo majibu yao yapo soon watachekea chooni. End
 

Nape Nnauye na Maza Lao ni moja kuhusu marehemu.​

Bora Nape ni mkweli Ana kibali kulisema la rohoni, Maza anapiga kimya.​

Kuna siku Dr Bashiru anasema ukweli kuhusu kifo cha JPM watanzania hawataamini.​

 
Kwaio ni Lini Mungu atatoa hukumu kwenye kesi ye Edo?or ya Mrema maana now anazeeka tu na hukumu haijatoka.
 
Huyo Marehem anasemwa na watu wengi sana.Huwezi kuwaziba midomo wote
 
Hadithi ya JPM haipo midomoni mwa wanasiasa wenziwe, ukiitaka ingia mtaani.
Huwezi itafuta hadithi ya mtu kwa maadui zake, nothing good will come out of it.
 
SISI TUJUE KILA TUFANYALO LINA MADHARA KAMA SIO LEO BASI KESHO HIVYO TUWE MAKINI NA MATENDO YETU.Acha wamseme ili walio hai wajifunze.
Nadhani akina Nape wanafikisha ujumbe kwa waliohai.

Ni wajibu wetu sisi tuliohai kurekebisha hali.
 
Nenda kwa GROUND ambako ndiko kuliko watu wengi nchini ukasikie jamaa anasemwaje na walio wengi !!!
Niko ground daily... Magufuli anasifiwa kwa kujaza wamachinga milangoni mwa watu na barabarani..
Maisha yapo taight kwakuwa mafuta yamepanda Duniani.. Lakini kuna unafuu kwa mbali... Kidogo hata Mahakama zinaanza kupumua hasa kwenye maamuzi..
 
Niko ground daily... Magufuli anasifiwa kwa kujaza wamachinga milangoni mwa watu na barabarani..
Maisha yapo taight kwakuwa mafuta yamepanda Duniani.. Lakini kuna unafuu kwa mbali... Kidogo hata Mahakama zinaanza kupumua hasa kwenye maamuzi..
Kwamba mahakama zilibinywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…