harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Ndio ivyo ivyo walimtabiria mwenda zake
Mama anawajua mwanzo mwisho kuwa ni wachumia tumbo tangu kitaambo

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InsaneKadi yako ya CCM utaichukulia hapo hapo kijijini kwenu Nanguruwe bwashee.
Imeshatumwa!
Nenda ofisi ya CCM Nanguruwe muone Katibu!Insane
MBONA MEMBE HAKUTAKA KUMUACHIA MAGUFULI AMALIZE MIAKA YAKE 10 UTAMADUNI HUO UMEANZA JANA?Kwa utamaduni wa CCM Rais Samia atadumu madarakani hadi 2030.
Huo ndio utaratibu Nape anakumbushia tu maana asije akaibuka Membe mwingine akaleta figisu zake 2025!
Ndio maana alifukuzwa akakimbilia ACT wazalendo!MBONA MEMBE HAKUTAKA KUMUACHIA MAGUFULI AMALIZE MIAKA YAKE 10 UTAMADUNI HUO UMEANZA JANA?
NI NGUMU SANA KUWAELEWA HAWA WANAFIKI TENA MARA NYINGI WANASHIRIKI KUVURUGA MAMBO KWA INTEREST ZAO.
NA NDIO SEHEMU YA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CCJ. NJAA YA JAMAA KWENYE VYEO YUKO TAYARI HATA KUJIUZA.Ndio maana alifukuzwa akakimbilia ACT wazalendo!
Umeona eenhh!!!.Sijawaiga kuona mwanaccm mwenye akili timamu mimavi yote inapatikana ccm
Kesha zeeka yule.Pumbavu zake huyo dogo
Kweli Mkuu.Yuda aliewachoma wenzake na kufukuzwa chama chini ya utawala wa JPM ilimradi atetee kitumbua chake.
Huyu jamaa si wakuaminika hata kidogo. Alipinga taratibu za uwekezaji pale jengo la vijana alipopatiwa apartment akatulia.
Nape hawezi kuupenda utawala uliopita baada ya kulazimishwa kurejesha Toyota V8, Cruiser mkonga na fusso mali za chama alizojimilikisha kihuni yeye na genge lake.
Ndugu zangu chini ya huo utawala aliousema wa mabavu huyu ndie alietoka na tamko kinywani kwake kupiga marufuku bunge live. Hapa alipenda cheo kuliko hatma ya kesho.
Mama Samia muangalie kwa jicho la umakini huyu mnyakyusa wa Busekelo. Ni sigara kali inayowashwa mbele na nyuma.
Hawa ni vijana hatari waliowahi kuamini wa katika nyadhifa mbali mbali za chama na serikalini lakini wasioridhika na walichopatiwa.
Daah ila umepiga nyundo nzito sana mkuu 🤣🤣Yuda aliewachoma wenzake na kufukuzwa chama chini ya utawala wa JPM ilimradi atetee kitumbua chake.
Huyu jamaa si wakuaminika hata kidogo. Alipinga taratibu za uwekezaji pale jengo la vijana alipopatiwa apartment akatulia.
Nape hawezi kuupenda utawala uliopita baada ya kulazimishwa kurejesha Toyota V8, Cruiser mkonga na fusso mali za chama alizojimilikisha kihuni yeye na genge lake.
Ndugu zangu chini ya huo utawala aliousema wa mabavu huyu ndie alietoka na tamko kinywani kwake kupiga marufuku bunge live. Hapa alipenda cheo kuliko hatma ya kesho.
Mama Samia muangalie kwa jicho la umakini huyu mnyakyusa wa Busekelo. Ni sigara kali inayowashwa mbele na nyuma.
Hawa ni vijana hatari waliowahi kuamini wa katika nyadhifa mbali mbali za chama na serikalini lakini wasioridhika na walichopatiwa.
Tatizo la Nnape ni kuwa alidhania kwa sababu baba yake alikuwa kada na alimsaidia kupata nafasi nyeti za CCM na yeye atamrithi kila kitu. Alipopewa uwaziri aliulewa, akajisahau kuwa kuna rais mpya.Yuda aliewachoma wenzake na kufukuzwa chama chini ya utawala wa JPM ilimradi atetee kitumbua chake.
Huyu jamaa si wakuaminika hata kidogo. Alipinga taratibu za uwekezaji pale jengo la vijana alipopatiwa apartment akatulia.
Nape hawezi kuupenda utawala uliopita baada ya kulazimishwa kurejesha Toyota V8, Cruiser mkonga na fusso mali za chama alizojimilikisha kihuni yeye na genge lake.
Ndugu zangu chini ya huo utawala aliousema wa mabavu huyu ndie alietoka na tamko kinywani kwake kupiga marufuku bunge live. Hapa alipenda cheo kuliko hatma ya kesho.
Mama Samia muangalie kwa jicho la umakini huyu mnyakyusa wa Busekelo. Ni sigara kali inayowashwa mbele na nyuma.
Hawa ni vijana hatari waliowahi kuamini wa katika nyadhifa mbali mbali za chama na serikalini lakini wasioridhika na walichopatiwa.
Nape Ni mnyakyusa[emoji15][emoji849]Yuda aliewachoma wenzake na kufukuzwa chama chini ya utawala wa JPM ilimradi atetee kitumbua chake.