Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Wewe nawe hamnazo,Achaa theories za kijima daima kutakuwa na gap ya kiuchumi si lazima lied na masikini,
Kwani nini maana ya mnyonge?
Ni mtu mwenye kutenda na mwenye kutaka kujitegemea, ila anakwamishwa na viongozi waonevu!
Ataenda jela, wakati kosa si lake,
Wataugua wao, atakufa yeye,
Atakula yeye, watashiba wao
Hiyo ndiyo dhana ya mtu mnyonge, hana mtetezi
Elewa kima wewe