Unyonge ni maamuzi yako binafsi, nyoko uchague kuwa masikini/ Mnyonge then unataka huruma ya serikali?Inaweza kuondoka endapo kutakuwa na usawa kati ya wenye nacho na wasio nacho. Kama kuna matabaka, neno 'wanyonge' haliwezi kuondoka. Kama kuna tofauti ya maskini na tajiri, wanyonge watakuwepo tu.
Zab 41:1 Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu.
Mnyonge ni mtu anayetamani kutendewa haki pasipo masharti, lakini hana uwezo. Leo hii kwenye mitandao wanakata salio kablaa hata halijatumika, wanyonge watakosaje kuwepo?
Tafuta pesa uone kama utakubali kuitwa mnyonge. Kuzaliwa masikini /Mnyonge siyo kosa lako kwani huchagui familia ya kuzaliwa. Ila kujiendekeza kuwa wewe ni mnyonge /masikini hilo ni kosa/upumbavu lako/wako.