Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mnafiki sana mtu huyu, alikuwa wapi kuzuia lugha hiyo isitumike miaka yote tangu tunapata uhuru; hata baba yake mwenyewe alikuwa akisema kuwa tupinge tabia za mabeberu kuonea wanyonge. Maneno ya Mabeberu na Wanyonge ni maneno tumekuwa nayo tangu wakati wa uhuru, halafu leo yanaonekana kama vile ni ya jana tu.Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.
“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.
“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Wakati wa Magufuli kauli hiyo haikuwa inawalenga hao wenye uwezo, bali inawalenga wale ambao kweli ni wanyonge na wanyanyaswa wazi wazi. Kama nchi alikuwa anawambia watanzania kuwa "sisi siyo maskini".
Hii tabia ya mawaziri hao kwenye kutoa "taarifa ya mafanikio ya rais kwa mwaka mmoja" ni kama hii hapa: