Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Mzee Lisu nae ana moyo wa nyama, jiulize kwann mpaka sasa anataka ahakikishiwe usalama wake? Means he still fears for his life!!
Lakini risasi 16 mwilini yeye ndiyo alitakiwa kuwa muoga kuliko watu wote duniani lakini ambebaki kuwa mkweli
 
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.

Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.

“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.

“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Nape nakuunga mkono 100%

Kwanini tuwe wanyonge? Mashirika yote ya mawasiliano ni lazima yawe na viwango vinavyokubalika kwa quality na standards za Kimataifa yenye ubora wa hali ya juu.

Hawawezi waondoke tulete wengine.
 
Mkuu umesahau kua mwendazake amejivika cheo cha izilaili.

Waislam wanasema ukiona mtu anafanya kitu kibaya hatua ya kwanza mkataze kwa mdomo,kama huwezi hatua ya pili tumia nguvu zako,kama humuwezi tena hatua ya 3 na mwisho chukia lile tukio na mchukie na anaetenda.

Kipindi cha mwendazake watu wengi walibaki kwenye kuchukia maana hawakua na ubavu tena.ukithubutu kwa hatua yoyote unaweza kunyofolewa roho.

Hivyo mkuu usimulaumu mtu kwa kutoongea kitu kwa wakati ule.
Dah.....tuache kudanganyana banaa....."katika hii dunia ogopa Mungu na Teknolojia"- Rughe.....
Cha misingi kila mtu ashinde mechi zake. Full stop

maxresdefault.jpg
 
Hii ipo kiimani zaidi au ni scholarly opinion ya kidunia?
Hii ipo kivyote mkuu.ukiishi kwa kufuata hivyo utakua mtu bora sana.na ndio maana unaona hata mwiguru alifukuzwa kwa zalau akaja kuteuliwa tena kwa heshma na mtu huyohuyo.asingekua na hekima ya kufuata hivyo isingewekana.lakini alijua nikiongea hapa kitakachinikuta sio kizuri.ingawa labda hakukubaliana na hali ile.
 
Dah.....tuache kudanganyana banaa....."katika hii dunia ogopa Mungu na Teknolojia"- Rughe.....
Cha misingi kila mtu ashinde mechi zake. Full stop

View attachment 2151048
Huyu amekurupuka.angefuata hayo hapo juu yasinge mkuta hayo.mtu kama humuwezi na anafanya makosa kwenye jamii kama huwezi kumzuia kuendeleaa kufanya makosa hayo unatakiwa umchukie na ukaenae mbali au mtenge kabisa.

Ndio maana vitabu hivyo vya kiimani vina sema,mtu akiwa shoga mtengeni na jamii umbali wa nyumba 40 kila upande.hii ni kwasababu ni ngumu kumulekebisha tena kuacha tabia hiyo.
 
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.

Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.

“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.

“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Kwani kwenye kamusi hakuna neno wanyonge?
 
Wewe ndo pimbi unafikiri unyonge unatoka kwa kwenda kutafuta vijipesa kuna kujenga madarasa yenye viwango feki? Unyonge unatoka kwa kufanya kazi na kujitegemea na kuwa wazalendo sio chawa kama huyo mwenye makunyazi shingoni! Magufuli alitoa kilelezo kweli kweli huyo anasema tuache kuitwa wanyonge baada ya kupata uwaziri! Taahira kweli!
Umekula leo?
 
Mambo ya wanyonge aliyaleta magufuli kuwadanganya Ili awaibie bahati nzuri mungu akamuwahi
Mbona Magufuli alikuwa hakisema sisi Tanzania ni Nchi tajiri hatuitaji Misaada ya hajabuajabu,ila sisi Ndio tunaitaji kutoa msaada mlikuwa mnazodoa hapa,tena katika Marais waliwapa hope Watanzania ni Magufuli, alituambia Watanzania tutembee kifua mbele kwa kujiamini, sasahivi angalia wanyonge Kama machinga na Mama ntilie wanavyonyanyaswa,angalia huko Msoma Wazungu wameisha anza kumwaga sumu hadi kwenye mto,hata watu wanyonge wakifa wafe Maana hakuna mwenye kuwafanya chochote, Kwa Magufuli tajiri alifanywa chochote Ndio Maana adabu ilikuwepo, Sasahivi myonge anaanza kuswaga tu Maana wanajua akuna mtetezi.
 
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.

Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.

“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.

“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Hiyo safari ya kwenda huko tunakotaka kwenda mbona hawakuianzisha kabla ya marehemu , kama walikuwa wanapajua ni wapi,
 
Kila zama na vitabu vyake, ulikuwepo wakati wa Musa , ukaja wakati wa Joshua, ukaja wakati wa Yesu Kristo nk
Msitumie vibaya maandiko kuhalalisha uchawi, hakuna kila zama.na kitabu chake , MUNGU anasema Neno lake halitapita kamwe, hata Joshua aliamriwa na MUNGU asome maandiko yaliyoandikwa na Musa na wala hakupewa kitabu chake kipya
JOSHUA 1:8
Ndio maana nchi yetu inabaki maskini kama kunakuwa hakuna sera za kitaifa zinazotrascend urais wa mtu, kama wenzetu wa nchi zilizoendelea.
 
Mbona kipindi cha marehemu hakusema hiyo kauli ni mbaya?
Wasiojulikana wangem'Ben Saanane au wangem'Tundu Lissu, alishatolewa bastola hadharani.
Si unaujua msemo wa 'keshaumwa na nyoka akiona unyasi anashtuka'.
 
Back
Top Bottom