Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Inategemea na anayeongea. Huoni kilimkuta ndugai, silaa na gwajima
Yeah ni kweli walionewa lakini sidhani kama kuitwa na kuhojiwa unaweza kulinganisha na hofu za kutekwa au kuuawa.
Ila nakubali kwamba walikuwa na haki ya kukosoa walipobaini hapako sawa.
 
Yeah ni kweli walionewa lakini sidhani kama kuitwa na kuhojiwa unaweza kulinganisha na hofu za kutekwa au kuuawa.
Ila nakubali kwamba walikuwa na haki ya kukosoa walipobaini hapako sawa.
Kitu inaitwa Uhuru wa kuongea kwa nchi zetu hizi haipo, ni kujiongopea tu.
Yametokea kwa nyerere waliokosoa kutekwa na wengine kuuliwa,
yametokea kwa mwinyi
Yametokea kwa mkapa
Yametokea kwa magufuli na
Yapo kwa Samia (juzi tu hapa ngorongoro waandishi walikamatwa naa kuwekwa kizuizini sababu ya kutaka kuhoji wananchi wa ngorongoro)
 
Huwa kuna utafauti wa kuwango cha kuminya huo uhuru wa kuongea, at least kana marais wakati wa phase zao za uongozi uoga wa kutekwa haukuwa mkubwa, ilikuwa ni jambo lisilodhaniwa kwa prominent politician kupigwa risasi mchana kweupe.
Hivyo ndiyo ufahamu kuwa viwango vya kunyimana uhuru wa kuongea vilitofautiana.
 
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.

Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.

“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.

“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Magufuli aliyasema hayo: kwamba Tanzania tusijione wanyonge. Kwa mali tunazokuwa nazo ardhini, tukithibiti kuibiwa tunaweza kuwa donor country. Watu wakawa wakimdhihaki kwa kusema 'eti Tanzania donor country'.
 
Huwa kuna utafauti wa kuwango cha kuminya huo uhuru wa kuongea, at least kana marais wakati wa phase zao za uongozi uoga wa kutekwa haukuwa mkubwa, ilikuwa ni jambo lisilodhaniwa kwa prominent politician kupigwa risasi mchana kweupe.
Hivyo ndiyo ufahamu kuwa viwango vya kunyimana uhuru wa kuongea vilitofautiana.
Sio kweli, hakuna raisi ambae hakudhuru wanaomkosoa
Kuhusu prominent politician kupigwa risasi mchana kweupe hili limekua kawaida ya hawa viongozi wa CCM karibu wote
  • mkapa, kombe alipigwa risasi mchana kweupe akaenda na Maji
  • JK, mvungi, ponda walipigwa risasi mchana kweupe. Mvungi akaenda, ponda akabaki.
  • Jiwe, Lissu alipigwa mchana kweupe na lengo ilikua kumuua
  • Samia bado ana muda mchache , Ila ni suala la muda tutarudi tena hapa. Kwa kuwa nimeona jinsi ndugai alivyoshughulikiwa pamoja na kuomba msamaha, basi Kuna yanayokuja
 
Amesema ukweli... kuna watu walituaminisha hivyo ili tuone wao ni watetezi wetu.
Hatuna unyonge sisi. Kila kitu kiamuliwe kwa misingi ya Haki kwa mujibu wa Katiba yetu pendekezwa.(ilee ya Warioba)
Hatuhitaji utashi wa kundi la watu , kuaminisha Watanzania ni wanyonge hivyo wapo tayari kufa kwa ajili ya kuwasaidia.
 
Unyonge ni laana.
Ila pia kujifanya wewe sio maskini wakati ni maskini ni kujiongopea tu.
 
Hajafa Bali amaya dunia ndio maana Kuna wahuni wanamchafua
Lakn imeshindikana wamebaki wakitapatapa
 
Back
Top Bottom