Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Muulize Ndugai kama umerudiUhuru wa kuongea bila ya hofu ya kutekwa umerudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Ndugai kama umerudiUhuru wa kuongea bila ya hofu ya kutekwa umerudi.
Inategemea na anayeongea. Huoni kilimkuta ndugai, silaa na gwajimaUhuru wa kuongea bila ya hofu ya kutekwa umerudi.
Ndugai ile ni karma na ndiyo maana majority walifurahia kilichomkuta, what goes around comes around.Muulize Ndugai kama umerudi
Sawa dingiNdugai ile ni karma na ndiyo maana majority walifurahia kilichomkuta, what goes around comes around.
Yeah ni kweli walionewa lakini sidhani kama kuitwa na kuhojiwa unaweza kulinganisha na hofu za kutekwa au kuuawa.Inategemea na anayeongea. Huoni kilimkuta ndugai, silaa na gwajima
Sasa hapa kam"discredit" lipi huyo magufuli?Huyu yupo kwenye crusade ya kumdiscredit JPM kila fursa anayopata anamkandia. Sisi tunamcheki tunasema hiiiii!
The guilty are always afraid, hao kila kitu ni kujishuku tu.Sasa hapa kam"discredit" lipi huyo magufuli?
Kitu inaitwa Uhuru wa kuongea kwa nchi zetu hizi haipo, ni kujiongopea tu.Yeah ni kweli walionewa lakini sidhani kama kuitwa na kuhojiwa unaweza kulinganisha na hofu za kutekwa au kuuawa.
Ila nakubali kwamba walikuwa na haki ya kukosoa walipobaini hapako sawa.
Huwa kuna utafauti wa kuwango cha kuminya huo uhuru wa kuongea, at least kana marais wakati wa phase zao za uongozi uoga wa kutekwa haukuwa mkubwa, ilikuwa ni jambo lisilodhaniwa kwa prominent politician kupigwa risasi mchana kweupe.Kitu inaitwa Uhuru wa kuongea kwa nchi zetu hizi haipo, ni kujiongopea tu.
Yametokea kwa nyerere waliokosoa kutekwa na wengine kuuliwa,
yametokea kwa mwinyi
Yametokea kwa mkapa
Yametokea kwa magufuli na
Yapo kwa Samia (juzi tu hapa ngorongoro waandishi walikamatwa naa kuwekwa kizuizini sababu ya kutaka kuhoji wananchi wa ngorongoro)
Magufuli aliyasema hayo: kwamba Tanzania tusijione wanyonge. Kwa mali tunazokuwa nazo ardhini, tukithibiti kuibiwa tunaweza kuwa donor country. Watu wakawa wakimdhihaki kwa kusema 'eti Tanzania donor country'.Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.
“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.
“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Sio kweli, hakuna raisi ambae hakudhuru wanaomkosoaHuwa kuna utafauti wa kuwango cha kuminya huo uhuru wa kuongea, at least kana marais wakati wa phase zao za uongozi uoga wa kutekwa haukuwa mkubwa, ilikuwa ni jambo lisilodhaniwa kwa prominent politician kupigwa risasi mchana kweupe.
Hivyo ndiyo ufahamu kuwa viwango vya kunyimana uhuru wa kuongea vilitofautiana.
Unyonge ni laana.Amesema ukweli... kuna watu walituaminisha hivyo ili tuone wao ni watetezi wetu.
Hatuna unyonge sisi. Kila kitu kiamuliwe kwa misingi ya Haki kwa mujibu wa Katiba yetu pendekezwa.(ilee ya Warioba)
Hatuhitaji utashi wa kundi la watu , kuaminisha Watanzania ni wanyonge hivyo wapo tayari kufa kwa ajili ya kuwasaidia.
Sipingi ujasiri wa Lisu but kama mwanadam kuna wakat anakua na hofu na uhai wake!!Jamaa lakini bado hajabadilika na hata alipokuja kwenye uchaguzi mbona alibaki yule yule?
Exactly, ndio maan nikakwambia mkuu babati kua uoga na hofu ya kuuawa kila mwanadam ana hofu!Ukigongwa na nyoka hata unyasi utauogopa.
Kwa yaliyomkuta ni haki yake kuogopa.
Lakini risasi 16 mwilini yeye ndiyo alitakiwa kuwa muoga kuliko watu wote duniani lakini ambebaki kuwa mkweli
hata Yesu amewahi kuwa na hofuSipingi ujasiri wa Lisu but kama mwanadam kuna wakat anakua na hofu na uhai wake!!
Lazima tuwe majasiriExactly, Yote kwa yote lazima awe na woga na uhai wake