Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Achaa theories za kijima daima kutakuwa na gap ya kiuchumi si lazima lied na masikini,
Wewe nawe hamnazo,

Kwani nini maana ya mnyonge?

Ni mtu mwenye kutenda na mwenye kutaka kujitegemea, ila anakwamishwa na viongozi waonevu!

Ataenda jela, wakati kosa si lake,
Wataugua wao, atakufa yeye,
Atakula yeye, watashiba wao

Hiyo ndiyo dhana ya mtu mnyonge, hana mtetezi

Elewa kima wewe
 
Tafuta hela wewe
 
Hata aliyekuwa kipenzi cha mwendazake mwigulu alisema wiki iliyopita alitwambia kwamba mabenki yalikuwa taabani yaani yalikuwa hana pesa za kukopesha na huyo huyo ndiye aliyekuwa akitwambia kwamba tupo kwenye uchumi wa kati kwa hivyo hiyo ndio hali asilaumiwe mtu kwa kusema ukweli sasa hivi tukiwa na rais mwenye utu na halima.
 
Ukweli mchungu, Africa yote ni wanyonge mbele ya mzungu!

Hatuwezi kujiamini kwa wazungu, na huo ndio unyonge, ila Magufuli tuu ndiye angalau alithubutu Kuwaita mabeberu mchana kweupe
 
Kenge wewe? Ukiwa ccm lazima utetee upuuzi,
Ndo maananape anapambana mifumo ibadilike kusiwepo wanyonge
 
Ukweli mchungu, Africa yote ni wanyonge mbele ya mzungu!

Hatuwezi kujiamini kwa wazungu, na huo ndio unyonge, ila Magufuli tuu ndiye angalau alithubutu Kuwaita mabeberu mchana kweupe
Kumtukuza yule dictator uchwara ni unyonge pia. nawe ulikuwa myonge kwa magufuli,
 
Jamaa anazidi kula mishale huko huko alipo dadadadeki
 
Fanyeni kazi mambo ya magufuli achaneni nayo nape akiwa waziri kipindi cha magu alikuwa ndio mzee.
 
Tutaacha tubaki na slogan ya bao la mkono,Nape akiacha kutumia jina la Moses Nnauye ni zero brain.Nafasi za kuteuliwa kwa jina la baba yake zinamuheshimisha mjini
 
Huyu yupo kwenye crusade ya kumdiscredit JPM kila fursa anayopata anamkandia. Sisi tunamcheki tunasema hiiiii!
So mkuu wewe ni mnyonge?
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanajifanya kama hawajui yale yaliyowapata wale waliyojaribu kuongea ukweli, ref CAG.
 
Sasa mbona hii kauli inatumiwa na watu ambao siyo wanyonge? Au mnawahadaa kisiasa ili kupata uungwaji mkono?
 
Hii ndo maana ya siasa za kubebwa. Kwa mwansiasa anayejitambua, anafahamu maana ya lugha kama hizo na comfort yake kwa wananchi. Kwa huyu anayepewa kwa sababu baba alikuwa mtunzi wa nyimbo, hajui amachoongea. He is just a devious politician.
 
Nape yupo sahihi. Mtu akikuita mnyonge, anakuwa amekufukarisha. Wazungu wanasema..you have been disempowered!
Hii kauli ya wanyonge ilikuwa ni kuwadanganya watu na kuwatumia kisiasa.
Hata kama sina kitu...usiniite mnyonge kamwe!
Lanlady
 
Wewe ndo pimbi unafikiri unyonge unatoka kwa kwenda kutafuta vijipesa kuna kujenga madarasa yenye viwango feki? Unyonge unatoka kwa kufanya kazi na kujitegemea na kuwa wazalendo sio chawa kama huyo mwenye makunyazi shingoni! Magufuli alitoa kilelezo kweli kweli huyo anasema tuache kuitwa wanyonge baada ya kupata uwaziri! Taahira kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…