Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania


Nikikumbuka ile hali ya wakinamama kulala chini, yy atembee juu ya miili yao.
Honestly nili laani sana.

So anapozungumzia khs wakinamama wapewe heshima zao…
Daah kwa kweli unaikumbusha Jamii yote ile hali ilivyokuwa haina heshima hata kidogo kwa wakinamama.

I thought angeomba msamaha kwanza ndy apate ujasiri wa kuzungumza khs heshima kwa wakinamama.
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

nape hatujamsahau alipomwita JPM mshamba leo mamaake anaambiwa kaongea matope anajumuisha wanawake wote Watanzania hiki ni kituko cha mwaka

Dunia duara na inazunguka wakae kwa kutulia Mungu ni wetu sote.
 
Ila kuna siku mama alituita STUPID.
 
Staha
Staha ndo nini, mbona kwenye kusain ule mkataba iyo staha mbona haikutumika
 
Badala ya kulia lia anzeni kuwashughulikia hao wapuuzi
 
Vipi wewe, January, na baba yake wote mlimtukana kila siku JPM na genge lenu kubwa.

SSJ akabaki kimya na kuchekelea. Wewe Nape na genge lenu kuchekelea kwa nguvu mlitoa kauli yoyote hadi leo hii?

Unajua mke wake alikuwa anajisikiaje au yeye siyo mama.
 
Bila kujali upande, bado inawezekana kukosoana kwa lugha za staha bila kejeli, matusi nk.

Tunajenga utamaduni mbaya wa kukosoana kwa kuvunjiana heshima, kudhalilisha utu wa mtu.

Hoja kama ina mashiko, ina uzito, ina maana haihitaji kuwasilishwa kwa lugha zenye ukakasi.
 
Wacha Muumba aje kuamua? Amesirwa kichwani nini? au anajiondoa Ufahamu kuhusu ugaidi uliofanyika dhidi ya Familia ya Hayati Raisi na Wananchi kwa Ujumla?

Nape has no moral authority here.
Nape huyu huyu alimtukana Lowasa kwa kudai ni Marehemu... Akina kuwa 'Hawezi kukubali kuelewa Marehemu Ikulu.

Leo anajifanya lugha safi... Rubbish.
 
Yeye alivyomtukana Lowasa hakujua kutukanwa kwa Mwanaume mmoja ni kutukanwa kwa Wababa wote akiwemo na baba yake mzee Nnauye?
 
Nape huyu huyu alimtukana Lowasa kwa kudai ni Marehemu... Akina kuwa 'Hawezi kukubali kuelewa Marehemu Ikulu.

Leo anajifanya lugha safi... Rubbish.
Amezungumzia "Mama" Mama Janeth Magufuli sio Mama? Wakati amedhihakiwa hapa Jamvini alikuwa wapi kuwaomba wananchi wapunguze matusi?
Kumzodoa Mama Janeth Magufuli wakati anaomboleza kifo cha mumewe alikuwa wapi?
Sikatai matamshi ya kumtusi Raisi yametapakaa mitandaoni, na ni kweli sio Utamaduni wetu Watanzania, Je ni Utamaduni wetu kuwatukana wafu? Makaburi?
Asichague nani wa kutukanwa kwa sababu za uhasama na visasi vyake binafsi.
Hafungi bao la mkono hapa. Asilazimishe
 
Naunga mkono hoja.Heshima ni kitu cha bure.
 
Mkuu kwani matusi ni nini?
Hayo mnayosema matusi ni yepi?
Punguzeni nidhamu za uoga..
Kila mtu atavuna alichopanda
Mkulu hajatukanwa acheni kukuza mambo.., Uchungu walionao WaTanganyika kuuziwa raslimali zao mnaona ni jambo la kuvumilika kweli?
Acheni kuudhi watu
Lissu kanyaga twende
Weh Endelea ku petipeti wezi wahuni majangili majambazi mafisadi labda utapewa uteuzi haramu
Tuacheni wenye uchungu na nchi hii tuililie na kuipigania..
Stop being bias
 
Mtu mshenzi anapojifanya msitarabu, watu wenye hekima hua wanamwangalia kwa jicho hasira. Huyu bedui leo hii wakuyaongea haya!!? Tatizo la viongozi wakishaa kaa kwenye viti, wanaona watanzania hawana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…