Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
chama kilekile mawazo yale yale utegemee matokeo tofauti?Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwakeView attachment 1971347
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana anasifia hatachelewaSoon anarudi kwenye baraza.
Mama atawale mpaka achokeNaunga mkono hoja! Hela zipo nyingi kitaa... Mama Mikumi tena
Mama atawale mpaka achoke
Vitu ni bei juu ila hela ya kununua ipo.Naomba aje huku kwetu Kijiji cha Mtakuja atuoneshe hizo hela zilizomwagika mtaani.
Watu tunaumia kuuziwa nondo 12mm shilingi 26,000 pc 1 wakati Serikali ambayo ndiyo regulator wa bei ipo na haichukui hatua kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi😭
Nape anasema sasa hivi mtaani watu wanafurahi maana hela zimewagika na mama kaweka hela nyingi kila mtu ana sherekea tofauti na kipindi kilichopita maana vyuma vilikuwa vimekaza.
Ni kweli hela zimewagika mtaani wana JF?
Nape ampa tano Rais Samia
-
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema, Rais Samia Suluhu anafanya kazi vizuri.
“Kuna wakati tulisema vyuma vimekaza, mama amelegeza sana, akimaliza hii miaka mitano, tumuongeze na mingine mitano 2025 atupeleke mpaka 2030," amesema Nape.
@nape_nnauye
@samia_suluhu_hassan
#MtanzaniaDigital
Yaani asichomoke tafadhali.Naam! Ikulu pawe ni makazi yake ya kudumu