Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sidhani kama hili lina ukweli kiasi ganiVitu ni bei juu ila hela ya kununua ipo.
Wakati wa jiwe vitu vilikuwa bei chee ila hela haikuwepo
But nachojua
Mwaka jana Petrol ~1923
Diesel ~1902
Nondo 12mm ~22,000
Cement ~14,500
Bei hizi ni kabla ya Uchaguzi
Mwaka huu petrol ~2365
Diesel ~2532
Nondo 12mm~26,000
Cement ~17,000
Bado hela hazijachanganya mtaani Ila dalili inaonesha hela zitaanza kuwa nyingi mwezi Novemba na kueleke Christmas huko