Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Daaah....

Kama utatusaidia kutuhabarisha nini kinasemwa huko kupitia hili bandiko lako, utakuwa umenisaidia pakubwa saaaana. Ni JF tu ndo ninayo kwa sasa, tafadhali!
 
Nape ni shujaa sana. Pamoja na kuzingirwa na usalama wa Taifa kuwa asishuke kwenye gari lakini hatimae ameweza kuongea na waandishi sasa
 
Magufuli amwangalie huyo aliyezuia mkutano kwa jicho la tatu?

Watu wa namna hii wanadhania kwamba wanamsaidia kumbe wanambomoa.

Nape angeongea siku tatu watu wangesahau alichosema kuvunja mkutano ni kuipa attention hii issue kwa muda mrefu!
 
Nape anaongea radioni namsikia wekeni 94.5 kwa walio dsm, stesheni ya sibuka FM. Kashamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…