Sa hivi sio cheche tena ni jimoto jikubwa likubwa gumoto gwaunguza haswaaaSasa ni dhahiri cheche alizoziona Kikwete zimeingia hadi chumbani kwake mwenyewe Kikwete, jana gazeti moja liliandika jinsi ambavyo familia ya Kikwete ilivyotikiswa na checheeee! Kumbuka kale sauti ka JK "ameanza kutema checheee"
Nape aliyekuwa msitari wa mbele kumbomoa Lowasa na kumnadi JPM nchi nzima na hata kuhatarisha maisha yake, nakumbuka ajali mbaya aliyopata akitokea Dar kwenda Lindi, sasa Nape amechomwa na checheeeee!
Checheeee! naona jinsi ambavyo ni raha kuwa mpinzani kwenye awamu hiii, maana checheeee haziwezi kuvuka huku kwetu, wanaunguzana wenyewe tuu.
Checheeee!
Nilikuwa na movie nyingi za kuangalia pamoja na novel kibao lakini tangu hii tamthilia ilipoanza, nimeacha yote.Kama ni vita basi hiyo itafananishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe .....Mapambano yanaendelea
Wewe. ....umesahau kuwa watz hata aje shetan watasema shujaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] leo amekuwa shujaaa??? Hebu tuache unafiki huyo nape ndio kaleta kero zote hizi na magoli yake ya mkono
Sengereya haijaagiNgoja tusubiri
Leo anapaza sauti nae eti watu wamekuja na bunduki....wanavyofanyiwa upinzan wao wapo kimya cheo dhamana huja na kuondoka ndio ivo muda utaongea ata anko na bashite muda wao upo karibu sana tuwe wavumilivu wako wapi akina riz1 walikua watu wa kuogopwa leo nao wanataka kutuaminisha tupo level moja nao awap malipo dunian mbingun kukamilisha toratiHilo ndiyo la msingi. Nitamwona angalau wa maana(siyo shujaa) kama atajivua uanachama na kuiacha Ccm. Lakini kubaki humo ni upuuzi tuu
Nape, ccm hakukaliki chadema hakuendeki, uliomtukana sana mzee wa watu.
Ulisasau, Ukiona mwenzako ananyolewa, wewe ........