unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Ndugu yangu mtu akifanya la maana lazima asifiwe akitibua alaaniwe, usiwe kama umenyweshwa dawa ya mapenzi na Magufuli. Nape atasifiwa na wote wanaojua haki za raia kasoro CCM wenye akili kama Makonda na Magufuli.
Aje ale kwako?Namshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Tumeshapata ujumbe kutoka kwa rais Magufuli kuwa adui yake namba moja ni vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Baada ya kuishi kwa kufuata matukio zaidi ya mwezi sasa tangu Makonda aanike hadharani majina ya wauzaji wasafirishaji na watumiaji wa dawa za kulevya sasa tuseme basi. IMETOSHA. TURUDI KWENYE HOJA YA MSINGI YA MAPAMBANO DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.
WENYE USHAHIDI WA VYETI VYA BASHITE TUKUTANE MAHAKAMANI.
WENYE USHAHIDI WA UVAMIZI WA MAKONDA CLOUDS TUKUTANE POLISI.
NAREJEA TENA. TURUDI KATIKA HOJA YA MSINGI ILOYOTUFIKISHA HAPA YA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.
amesemaje kwenye sipichi yake?
"Mm ndiye niliyekataza bunge live" by JPM.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
Jaribu kupitia ulichokiandikaNape gemu lake lilishanaswa
Akajisahau zaidi aliposifiwa Mtwara na Mh. Rais
Kumbe anaangaliwa, hivyo akajiona hawezwi kumbe mmmmh
Jumatatu akatoka pangoni mwenyewe, kuchagua wahariri kwa tume mmmmh, na wanamwandika Mh. Makonda ovyoooo mmmmh, ripoti ilijaa uongo eti aliwakimbia ha ha haaaa kumbe hata hawakumtafuta ni mengi. Kubwa aliamua kumuhukumu Mh. Makonda Jumatatu, tume aliichagua Jumapili
Tabu gemu hamfanyi kwa akili, kama mnavyomsingizia Makonda kila kitu
Ha ha haaaa
JPM kiboko, tutamzoea tuchape kazi tuache udaku
JPM oyeeeee
Makonda oyeeeee
Chonde chonde nape usishindane na mwenye nchi