Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Kwahiyo kila anayekemea uovu wa Makonda ni mtu mchafu!

Kweli Taifa limefikia pabaya!
 
busara ilikuwa atulie kisha aombe kibali cha kufanya mkutano wake na kwenye mkutano aweke bayana kila kitu na msimamo wake..... naona bado watanzania wana Maswali mengi.
 
Mbwa ni wewe usiyeelewa nini usalama wa taifa. Usicheze na serikali iliyopo madarakani. Magufuli hoyeeee! Wauza ngada walimtukana sana kikwete. Wembe ndo huu kum am amaye!
Tunawasubiri mkimaliza miaka yenu jero mje na mrejesho mmekamata wangapi na wangapi wapo jela. Na hilo neno ulilomalizia mwishoni nalirejesha kwako kama lilivyo.
 
Kibstec.....umenena vema kabisa na ndicho tulicho msihi sana Mh Nape from the beginning.

Nadhani atakuwa amekuelewa
 
Izi ni mali za wazungu wenyewe ambazo zipo kwenye mataifa mbalimbali duniani mfano hapa Tz wanazo hapo jirani na St Peters,Pangani Tanga,Machame walikodi ile hotel ya Mbowe ilokuwa inaitwa Aishi hotel.
Tehteh haaya bhana asante pia kwakuniona lofa yaani unafikiri naandika bila kujua au naotaa
 

Ndugu, una uhakika gani kama yule ni Afisa Usalama? Ilikuwa lazima atoe kitambulisho chake cha kumthibitisha, kabla ya kumtaka Nape afuate amri zake.
Kwanza ni Afisa Usalama gani anayeweka na kuchomoa silaha kwa mkono wa kushoto? Kamuulizeni, alifundishwa wapi kutumia silaha namna ile?

Ova
 
leo naibu katibu mkuu kamlilia nape kwa kuondolewa uwaziri vip ccm hamkulilia Zito alipofukuzwa uwanachama kwa kulilia ukiukwaji wa katiba ya chama cha Chadema. Kinani?
 
Yule jamaa alitoa bastola kama show off tu lakini katika uhalisia ilikua rahisi mno kumhandle tungekua nchi zile zenye purukushani silaha yake hiyo hiyo ingemmaliza.Yule jamaa kama ni askari arudi darasani.
 
Nimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.

Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.

Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…