Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Karne ya leo unashangaa kupata sauti tulivu kama ile? Hata tecno yangu y6 inaweza kuyafanya yale. Kuna vinasa sauti vya kisasa vyenye umbo dogo kama gololi, waweza vaa shingoni au ukakiweka kwenye mfuko wa shati na kikanasa sauti yako kwa usikivu wa halo ya juu. Hivyo usishangae dogo.
 
Kosa lake kwa mtu wa mihemuko hawezi kuliona kwa urahisi, ksma ulimsiliza wziri mwakyembe jana hapo ndo waweza gundua

Unamuongelea Mwakyembe aliyekana andiko lake mwenyewe la PhD au unamuongelea Mwakyembe yupi Mkuu wangu??
 
hata mimi namshauri nape afanye hivyo. Magu sio mbaya hivyo ni mtu poa sana wataelewana tu. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Watanzania baadhi yao wanamuono mdogo sana Nape aliondolewa kutoka nafasi ya Katibu mwenezi wa ccm mnadhani ilikuwa nafasi ndogo kupewa uwaziri Kama kifuta lawama hivyo kwake haikuwa nafasi ya kudumu.
 
Yale yote yalikuwa maigizo wewe muangalie Kitenge alivyo kuwa anaongea na yule wanao muita askari hadi wakaelewana hahahaha
Kwahiyo Polisi nao walikua kwenye maigizo? Kweli nimeamini CCM tumeishiwa hoja Hawa jamaa wa upande wapili watatutandika vibaya sana.
Inabidi Mwigulu Nchemba ajiuzulu ni kashfa kubwa hii.
 
Mtu msafi na mtu sahihi kwenye hii nchi ni yupi? Kura umpigie alafu akishakua rais anasema we sio mtu sahihi wa kukusikiliza? Waza kwanza na wewe kabla hujaleta blah blah
 
Kwani kuna tabu yoyote!?

Tabia yenu ya kufungua ID nyingi kuandika juu ya jambo ndio unataka nifanye mimi kabisaaa eeeeh, hivi hukuweza kufikiria lingine. Inaelekea ndio zako hizo.
Ile ID uliyokosea ukanijibu nayo Jana inaandikwaje?
 
Reactions: SDG
Unafikiri vyeo ndio kilele cha furaha na amani kwa kila mtu? Kwa wengine amani na furaha haiwezi kupatikana kwa vyeo bila utaratibu. Kwamba kuna watu hawako tayari kupokea vyeo katikati ya maisha ya vitisho na mikwara kila wakati! Asubuhi njema...
 
Mtu msafi na mtu sahihi kwenye hii nchi ni yupi? Kura umpigie alafu akishakua rais anasema we sio mtu sahihi wa kukusikiliza? Waza kwanza na wewe kabla hujaleta blah blah
Mbugila huyo, mfuatilie maandishi yake utajua ni mtu wa aina gani!
 
mnamhitaji wakati wa vita tuu kumbe!? mkishapata ushindi mnaleta kiburi.... ila hata nape akisepa kinana yupo atawapigania tuu msiwe na hofu.
 

Unataka kutuambia hakuna waziri mwingine alishawai kuunda kamati ya uchunguzi bila kuwasiliana na rais??? nn maana ya ku delegate power??

Ndo maana watu wanasema kwa rais tuliyenaye hatuna haja ya kuwa na mawaziri kwani kila kitu anataka kufanya yeye.

Bora angewafukuza mawaziri wote abaki yeye na bashite wake tu.
 
Kuweni na shukrani CCM.. BILA huyu bwana Saivi mngekua wapinzani nyie.

Nyinyi ndio mumtake radhi.

By the way ushashawishi watu wangapi mpaka Leo kuingia CCM (chama cha magufuli)?
Sasa pale ccm ilihusikaje?? Kwani aliondolewa kwenye chama..?? Then yeye na jk kwa upande mwingine ndio waliyumbisha chama..
 
Nnamshaka na mtoa mada mana anakaili za kibashite bashite... Big up Nay wa Mitego
 
NAPE ni mdogo sana kwenye hicho Chama. Baba yake mwenyewe alikuwa mamluki Chamani miaka hiyo.
 
Kwani utawala wa JK ulikuwa wa aina hii?


Mnyonge tumnyonge lakini haki yake tumpe!
 
Sasa pale ccm ilihusikaje?? Kwani aliondolewa kwenye chama..?? Then yeye na jk kwa upande mwingine ndio waliyumbisha chama..
CCM ndiyo serikali, Serikali ndiyo CCM.

Alichofanyiwa Jamaa ni Usaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…