Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Wireless Microphone! Inadaka na kurusha sauti kwenye camera ata mita 10 mbali.
 
Unaunda tume ya kumchunguza mtu ambaye una mamlaka naye ya kumwajibisha.

- Sasa Nape hiyo Report aliyopata alitaka kuipeleka kwa nani ? - Anasema Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais UTAFIKIRI Walimwagiza kufanya hivyo wakati tayari RAIS alishaweka msimamo ubungo
 


Na kosa alilofanya Raisi kwa kumwachisha kazi Waziri aliyemteua ni lipi?
 
MKUU hujui aliyezuia matangazo ya live ya BUNGE ni MKUU wa NCHI?
Kweli ni mkuu ndio alipiga stop lkn hapi hapo nape nae alikuwa mkuu wa kitengo hicho sasa kwann kipindi kile alikaa kimya tena mwenyewe alikuwa analitolea maelezo bungeni?? Leo hii tunamuita eti nape shujaa kwa lipi mkuu?

Kikubwa ni kwamba mirija ya pesa imekata
 
Basi sawa la Nape igizo la bandari tukio halisi kudadeki CCM
 
Wewe sasa ndio pungwani kabisa, nape shujaa!!????? Shujaa wa kufungia vyombo vya habari na bunge.?? Pumbaaaaav
 
Sasa ampigie wa nini wakati CCTV imeanika kila kitu.?
Kina luge walikosea sana kuivujisha clip ile ndicho kikubwa walikosea,walipaswa wamtafte kwanza waongee nae na kama angeleta ubishi ndipo wangefungua kesi kumshtaki huku wakiwa na uthibitisho kabsa

Kuliko saiz wamerusha clip mtandaon kwa mihemko ya kumwaibisha yule mtu ndio maana hata mambo yao yanapuuzwa na mkulu
 
Vp leo mkuu hajalalamika magazeti yote kumwandika yeye kwenye front pages?
 
Mkuu kwann nape hakuwa shujaa ktk bunge live? Alikuwa na masilahi au
 
Unataka Nape afuate makuzi ya nyumbani kwenu? Majitu mangine bwana! Ana Uhuru wa kuamua atakavyo mwenyewe huwezi kumpangia!
 
Walishamvumilia sana. Kama ulimsikiliza Vizuri Ruge ni kwamba Jamaa kashafanya mambo mengi ya ajabu pale CMG ila ndio hivyo watu wamechoka.

Clouds walifanya vile ili Kulinda Brand yao Maana Gwajima na Mange Kimambi walishatangaza vita nzito Dhidi yao.

Kumbuka wewe unapata burudani wao wanachapata chakula. So hawakua tayari kuona kijiko kinachowalisha kinavunjwa kisa tu ni U'rc.

Big up to them.
 
Dili lake kunyakwa, aliposhindwa kulificha ndani yake Jumatatu. Huku wanampa timing tamuuu tangu kabla, akalewa kusifiwa Mtwara akaingia mkenge.

Kisa RC mpendwa aondolewe kazini.

Makonda oyeeeee

Kwani RC huwa anaku.ko.joza vingapi??
 
Ni kweli mkuu lkn kwann redio mawingu waruhusu mazoea na jamaa? Hata wao mkuu kuna kitu wamepeleza
 
Kosa la DAB linahukumu yake kisheria kabisaa walitakiwa wamfikishe kwny vyombo vya sheria ila walifanya vyema kyivujisha ile clip coz DAB kwa hii gavoo yupo above the law so clouds wameuza ugomvi wao kwa community na wamepata sympath that's y one of his crime ni uvamizi kituo cha habari ya vyeti km inefifia kdg hivi
 
Kama ni asset hata akihama bado anabaki na utanzania wake atakapohamia ataendelea kuwatumikia watanzania!Tanzania ni kubwa kuliko Nape!
 
..In administrative law is called excess of powers,usurping of powers,Ultra vires. Aliunda kamati kumchunguza mteule wa Raisi bila kutumwa..

Hivi ile kamati ilikuwa ni kumchunguza Bashite au kuchunguza kilichotokea pale Clouds na Bashite was just part of it? Pombe imekurupuka. Hii ni culture ya kupendelea micro-management style. Haiwezekani Waziri awe anaconsult Ikulu kwa kila jambo. Hatuwezi kwenda namna hiyo.
 
Weka hiyo video ya tuone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…