Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Ni kweli mkuu lkn kwann redio mawingu waruhusu mazoea na jamaa? Hata wao mkuu kuna kitu wamepeleza
Yule alikua ni rafiki yao toka akiwa mwanafunzi wa chuo.. wewe huna marafiki zako wa muda mrefu wanaokutembeleaga popote muda Wowote na Wala huwafikiriii vibaya?

Jamaa walimpa airtime kubwa sana ni yeye mwenyewe tu kalewa Madaraka. Hii issue ya Vyeti nilishasema wakiendelea kuikalia kimya itakuja kuwavua Nguo Mbele za wakwe, niamini mimi.

Wakati si Milele.
 
Mkuu mimi global tv Ndio nimewaelewa zaidi.
 
Nape alitekeleza agizo la kuzuia bunge kwa maslahi ya chama kabla hajagundua kwamba mwenyekiti kilaza..
Kama ndivyo mkuu basi napebsi shujaa kama wanavyosema maana anapenda masrahi ya chama kuliko masrahi ya nchi na wananchi kwa ujumla
 
Acha unafiki Lowassa ni Lowassa huwezi mfananisha Na nape Lowassa mpaka Leo CCM inajuta
 
Team MTAMA mkuu. Umeona mbali sana. MTAMA EMPIRE.
 

Unajikanyaga mno.Makonda amekosea na anatakiwa kujibishwa kama ameshindwa kujiwajibisha.Hakuna issue ya Madawa wala ufisadi hapo.Ni issue ya Makonda kuwa mzuri wa Mwenyekiti wako kwenye madeal yake.

Huyo Mwenyekiti wako hana usafi wowote.Mwache Nape Wa Nnauye aamue mtoto wa Kimakonde ameaga kwao.
 
haitaji kumuonesha usoni ndio afahamike,,,yaani ata wakipangwa 300 kwenye mstari naweza kumtambua bila shida yoyote licha ya kwamba hakuoneshwa usoni.
We ni Nape au Hamorapa
 
Kosa kubwa alilofanya Nape kusema ukweli.Kumgusa mtoto wake Bashite hakuna lingine.
 
Hivi kwa akili zako nusu UNAFIKIRI mtu kama wewe CHADOMO unawea sapoti NILICHOANDIKA hapa???...Ningekuwa sikufahamu humu jukwaani hapo sawa....
 
Mnafki usiyejitambua ww
 
Na kosa alilofanya Raisi kwa kumwachisha kazi Waziri aliyemteua ni lipi?


Hakafanya kosa ila Mazingira ya kumwachisha kazi ndo yanaleta haya maneno yote.

Kwa nn iwe baada tu ya ishu ya makonda na clouds ambayo Nape aliingilia kati kama waziri husika na si kabla???
 
ni maamuzi yake msimpangie!!
 
Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola
macamera man niwaoga tu kama harmorapa waliogopa pisto
 
Zamani nikifanya vibaya nilikuwa naambiwa blaal waahead... sikuwahi kuelewa maana yake
 
Mkuu Nina shwali plz! Ilo LA lowasa kutoongea zaidi ya dakika 15 ni uongo ukweli?
 
Nakumbuka jambo moja zuri sana alilosema nape naomba nimnukuu " vijana endeleeni kusimamia mnachokiamini, hii ni nchi yetu wote" mwisho wa kunukuu, sasa wewe mzee mimi sikuelewi, kitu gani kimekutisha kwenye ujumbe wa nape
Huyo ni mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…